Kama wanavyofanya Clouds,hivyo ni sawa tu.Utamsikia Maulid Kitenge, atasingizia kipigo kimetokana na kuwa bize na uchaguzi wa viongozi. Siku hizi kipindi cha 'spoti leo' cha Radio One kimegeuka kama kipindi cha Yanga, maana jamaa (Kitenge) alipiga kampeni za kumng'oa Nchunga na sasa anapiga kampeni za kumchagua John Jambele. Asilimia 80 ya habari za 'spoti leo' zinahusu Yanga !!
Basi kama na wewe ni msukuma ndo hivyo hamna r, naona hata mtani Ulimakafu amecomment.Haa inamaana mimi siyo msukuma!?
Abdallah Juma na Sunzu aina yao ya uchezaji inafanana halafu Abdallah ni mzito, wanaweza kucheza pamoja endapo Mbiyavanga, Haruna Moshi na Edward Christopher hawako fiti, hayo ni maoni yangu kulingana na nilivyowaona wakicheza pamoja siku ya mechi ya Azam sijui kocha atapangaje.Vipi Abdallah Juma wakicheza na Sunzu...
na usajili wote ule lakini Yanga wamekula kichapo
Humu wote yanga wenzangu mbona kimyaaaa! Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli leteni hata ukweli au unaweza kuangusha kilio au kicheko kama hutajaliDakika ya 85
APR 7-0 WAU Salaam
Mnyama atashuka saa kumi kamili kupepetana na wakusanya kodi wa Uganda.Mnyama anashuka sa ngapi?
Hawa ports kwa kweli huwa wanakuja kuziongezea timu magoli, mwaka jana si ndo walipigwa tisa hawa?vita saba sasa..