Chukua tano mkuu...! Ulisema haya mwanzoni wakakuandama....ona sasa pwaaa kama CCM itakavyopigwa chini...!! Haya Yondan, hongera combination yako na Canavaro hakuna mfano afrika...lol
Kocha ana siku 5 tu tangu aanze kuifundisha Yanga jamani.....
Yanga bado wana nafasi ya kuendelea maana bado wana mechi 2.......Lolote laweza kutokea katika football
Kiukweli Atletico ni wazuri sana...Kipindi cha pili wamecheza vizuri zaidi na waliwazidi Yanga katika kila Idara.....Kocha wa Yanga inabidi ajiangalie fomesheni yake ya kumuondoa Haruna Niyonzima kwenye kiungo na kumpeleka mbele kama mshambuliaji.....Chuji na Gumbo hawakuelewana kipindi cha pili...
Yaw Berko amefanya kazi kubwa sana leo,bila yeye Yanga wangefungwa magoli mengi sana......
Kelvin Yondani amecheza vizuri sana,tatizo lilikuwa kwa beki ya kulia na wakati fulani kwa Nadir Haroub....
Safu ya ushambuliaji ni butu......Ni bora Buhanuzi angeanza......
Mechi hii imepita,tusubiri zijazo sasa na APR na W. Salaam.......
Kesho Simba wanacheza na Azam pia wanacheza....Binafsi nitazishangilia timu zote hizo mbili so ndetichia, Crashwise na mtani wangu wa ukweli Masuke tegemeeni support yangu....Tupo pamoja kesho wakuu....
Kila la heri...
Bala.
Balantanda,
nakuona uko online tena kwenye hii thread lkn kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, subiri kesho uone faida ya kombe la urafiki.
Kocha ana siku 5 tu tangu aanze kuifundisha Yanga jamani.....
Yanga bado wana nafasi ya kuendelea maana bado wana mechi 2.......Lolote laweza kutokea katika football
Huyu kocha alikuja na mbwembwe kumbe hamna kitu. Hivi mpango wa Yanga wa kumleta Maximo uliishia wapi?
Mtani...Mpira hauchezi magazetini,mdomoni wala kwa BIN ZUBEIRY,mpira unachezwa uwanjani ....lkn kwa mkwara uliokuwa unapigwa, wengi tulitegemea kuona Yanga ikitandaza soka la uhakika na hatimaye kuibuka na ushindi, sasa hizi story za kusema bado mechi 2 na lolote linaweza kutokea ni vichekesho.
Too low!!
Mimi muda wote nipo hapa na huwa sikimbii jukwaani sababu ya matokeo ndugu....
Nilikuwa na tatizo la mtandao ndo maana uliona kimya......
Sina ushabiki wa kijinga wa kukimbia jukwaani/uwanjani mara timu yangu inapofungwa.....Timu yoyote ikiingia uwanjani uju itashinda/itashindwa/itatoka sare for football is always a game of chance na kushindana mbinu.........
6¤7Soma signature yangu........Bala Is Always Here...........
Mtani...Mpira hauchezi magazetini,mdomoni wala kwa BIN ZUBEIRY,mpira unachezwa uwanjani ....
Tatizo timu za Tanzania/watanzania ni kuongea....Tuko kama Waingereza,kuongea kwingiiiii lakini uwanjani sufuri...
Kuna watu husema 'Mtoto wacha kupiga mayowe,wacha watu wajionee'
shaffi dauda alimzuia..lol
yanga hii, hakunagaaaaaa..bala ulihoi namhara...
Mkuu poleni kwa kipigo na asante in advance kwa support yako kesho, na hili ni tatizo la sisi mashabiki na viongozi wetu, kama beki mbili ilikuwa shida, sikumbuki ni post ipi lakini jana nilisema hapakuwa na sababu ya kumwacha Nsajigwa kwenye haya mashindano hata kama haanzi kukaa benchi tu inatosha unaweza ukamtumia pengine, lakini yawezekana aliachwa kwa sababu tu alivyoharibu ile mechi dhidi ya Simba, na kingine nilisema mimi sio kocha lakini Gumbo kucheza kati na Kiiza kushoto halafu Niyonzima mbele nalo ni tatizo.Kiukweli Atletico ni wazuri sana...Kipindi cha pili wamecheza vizuri zaidi na waliwazidi Yanga katika kila Idara.....Kocha wa Yanga inabidi ajiangalie fomesheni yake ya kumuondoa Haruna Niyonzima kwenye kiungo na kumpeleka mbele kama mshambuliaji.....Chuji na Gumbo hawakuelewana kipindi cha pili...
Yaw Berko amefanya kazi kubwa sana leo,bila yeye Yanga wangefungwa magoli mengi sana......
Kelvin Yondani amecheza vizuri sana,tatizo lilikuwa kwa beki ya kulia na wakati fulani kwa Nadir Haroub....
Safu ya ushambuliaji ni butu......Ni bora Buhanuzi angeanza......
Mechi hii imepita,tusubiri zijazo sasa na APR na W. Salaam.......
Kesho Simba wanacheza na Azam pia wanacheza....Binafsi nitazishangilia timu zote hizo mbili so ndetichia, Crashwise na mtani wangu wa ukweli Masuke tegemeeni support yangu....Tupo pamoja kesho wakuu....
Kila la heri...
Bala.
Du Crashwise bhana, wasukuma hawana r, sema namhala.yanga hii, hakunagaaaaaa..bala ulihoi namhara...
Mkuu poleni kwa kipigo na asante in advance kwa support yako kesho, na hili ni tatizo la sisi mashabiki na viongozi wetu, kama beki mbili ilikuwa shida, sikumbuki ni post ipi lakini jana nilisema hapakuwa na sababu ya kumwacha Nsajigwa kwenye haya mashindano hata kama haanzi kukaa benchi tu inatosha unaweza ukamtumia pengine, lakini yawezekana aliachwa kwa sababu tu alivyoharibu ile mechi dhidi ya Simba, na kingine nilisema mimi sio kocha lakini Gumbo kucheza kati na Kiiza kushoto halafu Niyonzima mbele nalo ni tatizo.
Tukija kesho juu ya mechi yetu ningependa kocha apange kikosi kama ifuatavyo, Golini Kaseja, 2. Shomari Kapombe, 3. Amir Maftah, 4. Lino Masombo, 5. Juma Nyoso, 6. Musa Mude, 7. Uhuru Selemani, 8. Mwinyi Kazimoto, 9. Felix Sunzu, 10. patrick Mbiyavanga, 11. Salim Kinje.
Du Crashwise bhana, wasukuma hawana r, sema namhala.
Vipi Abdallah Juma wakicheza na Sunzu...Mkuu poleni kwa kipigo na asante in advance kwa support yako kesho, na hili ni tatizo la sisi mashabiki na viongozi wetu, kama beki mbili ilikuwa shida, sikumbuki ni post ipi lakini jana nilisema hapakuwa na sababu ya kumwacha Nsajigwa kwenye haya mashindano hata kama haanzi kukaa benchi tu inatosha unaweza ukamtumia pengine, lakini yawezekana aliachwa kwa sababu tu alivyoharibu ile mechi dhidi ya Simba, na kingine nilisema mimi sio kocha lakini Gumbo kucheza kati na Kiiza kushoto halafu Niyonzima mbele nalo ni tatizo.