Azam inaonekana hawakutarajia kufungwa goli kwenye first half ndo maana wanaonekana kuchanganyikiwa, inabidi wawe makini wakifanya masihara wataongezwa na kuwafanya Yanga kuwa mabingwa kwa mara ya tano.
Kwenye haya mashindano Yanga ndo inaongoza kwa kupata magoli rahisi, na sitashangaa wakachukua ubingwa pamoja na kwamba kiuwezo Azam wako vizuri lakini inaonekana bahati isiwe upande wao leo.