CDM karibuni ikulu kunywa chai na kupiga picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM karibuni ikulu kunywa chai na kupiga picha

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by GeniusBrain, Nov 23, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha ukilaza unadhani CDM ni sawa na Jk anayehongwa suti na kukubali sera ya ushaoga?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eti genius brain.????????????
  Don't live on wishes,...
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280

  Haaahaaa! who knows this time people might think differently?
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Genius Brain still alive!!
   
 6. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ma great thinkers tuwe tunaangalia threads za kuchangia, sio hizi za ku.cha.mbia.
  Tunampa kichwa huyu punga.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe hapa umefanyaje?
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kwani hawewezi kuingia ikulu kwa mwaliko wa futari?????????
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na tena siku hiyo ulinzi uimarishwe ndani na nje ya ikulu na wajumbe wote wapekuliwe ipasavyo ili wasije kuingia na vitu hatari ndani ya ikulu. Hili ni angalizo kwa vyombo vya usalama wa Rais !

   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Na ww wataka mwaliko wa ikulu ? tuma barua na ww
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Yaani ukisoma posts kama hizi unaweza tapika siku nzima. Walioshikwa pabaya ni nani? Watanganyika au CDM.

  I just don't know why some people do'nt even undestand themsevles.Halafu utumbo kama huu unatoka eti kwa Gunius brain.Fu****k
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Naomba JK hawakaribishe vizuri hawaandalie Mtori na Kisusio!

  Pamoja na Mbege
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Maumivu yanaingia pole pole mpaka yote yataisha halafu utasikia ladha sasa ya rais utaimba na kufurahia utamu wake !

   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na ndafu pai watapewa wakimaliza watapiga picha halafu hao wataondoka

   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  typicaly Kikwere...
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Halafu cha kusikitisha ni kuwa tarehe za kuhudhuria kesi zao mahakamani nazo zinawapa shida: "huku hayuko huku hayuko, ankula huu".

  Bora waende wakakubali tu yaishe:

  Kitakachojiri ni kama ulivyoeleza, na kwa kuongezea tu, watatoka watatangaza tumefikia muafaka na tutaendelea kuhudhuria vikao vya bunge na tumekubaliana kuwa kama tunapingamizi lolote mswaada tutausitisha kwa njia za kisheria mahakamani na/au tutapeleka Bungeni hoja ya kubadilisha vifungu vya kanuni kwenye hiyo sheria iliyosainiwa. Kwishnei, hakuna zaidi.

  Kikwete mkataba atausaini kwani magwanda hawana oja za kwenda kuongea zaidi ya kutafuta pa kutokea na njia rahisi na ya ubunifu ni hii walioitumia, nnampa heko aliyewashauri hilo.

  Na huu ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa maandamano na kususasusa wakitoka huko wanakuja na staili ya kisiasa zaidi kama tulivyoona kwa CUF.

  Hii inanifanya nimkumbuke sana Uncle Zomba huwa anasema hao wote ni "system" wanadanganya Watanzania tu. Ikifika siku wanaitwa wanaambiwa haya geukeni huko sasa pametosha, yote danganya toto.

  Magwanda vipi kuhusu David Cameron, naona hawajaongelea chochote kuhusu hilo.
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Inaelekea nchi hii ina wasemaji wengi wa Ikulu, au tuite waandishi wa rais, au wakuu wa kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu. Kuna mtu humu (Pasco) jana aliapa kwamba kamwe rais hatataka mazungumzo na mtu na ataupitisha muswada kwa mbwembwe bila ya kufanya maongezi na mtu; kabla hayajapita hata masaa sita, ikulu ikatoa tamko kuwa imekubali ombi la CDM, sasa Pasco anaona hata aibu kulogin humu JF. Sasa hivi anatokea 'afisa habari' mwingine wa ikulu anasema hakuna kipya CDM watakachomwambia rais. Jamani kama ndo hivi, ombeni ajira ikulu muwe wafanyakazi rasmi ili mtoe taarifa sahihi !!
   
 18. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Chadema wameona mzee wa kaya alivokuwa anatamani kuongea nao.. Wamefanya hilo kumsaidia yeye!! Mwenyewe anaona umaarufu kukutana na makamanda wa CDM, kama ni uongo, mbona amewajibu kwa kusikia taarifa ya vyombo vya habari tu???!!! Kwa nini asisubiri kupelekewa barua ya kuomba kuonana nae ndio a respond??!!
  Kimsingi chadema hawaendi kuongea nae, hawaendi kufanya nae conversation, Wanaenda kumuelekeza na kumwambia wewe GeniusBrain unafikiri JK ataongea nini mbele ya MBowe na Slaa kama sio kuwa sikiliza tu na kufanyia kazi??!!

  MENE-MENE - TEKELI - NA - PERESI Anaesoma na afahamu
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kikao chenu cha kamati kuu kimeona mwokozi wenu ni JK hakuna mwingine, na nyie wenyewe ndio mmeomba sio yeye, sasa hapo nyie ndio wakumlamba miguu na kumuomba awasikilize. Na ww uko wapi mzee, CDM wameisha peleka barua na ikulu imeisha toa barua pia, sio verbal tu. Cdm mlibugi step kutoa maoni yenu

   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
   
Loading...