CDM badilisheni jina linalowafaa ni hili...

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
4,315
Reaction score
309
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
 
Endelea tu kupiga zumari Kama kawaida yako,usisahau kucheza bao kwa mtaji wako wa baadae
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

Mbona walishashindwa na hivyo kama hiyo ndiyo maana halisi basi ni jina muafaka kabisa,kule BAVICHA, alitaka kuchinjana, sasa subiri hiyo nafasi ya uenyekiti.watatoana macho kweupe.
 
sishangai coz upo kwenye payroll ya chama cha magamba
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

no wonder ur supporting a dying party! aliyekuambia chadema ni neno ni nani?
 
Kama kawaida ya cdm viongozi + wanachama + wapenzi majibu rahisi kwa hoja nzito. Kuwa mweledi wa kiswahili ndipo ujibu najua ukiwezi kiswahili fasaha

Hoja nzito ipi!!?huu upumbavu+ujinga uliouandika ndio tukupe majibu mazito!!!!?Nimeamini hicho ndicho kipimo cha watu wa magamba aka wezi aka ccm
 
Chagga development manifesto
 
GeniusBrain! Siku c nyingi utakupata BAN,Pumbavuuuu sanaaaa!
 
Hoja nzito ipi!!?huu upumbavu+ujinga uliouandika ndio tukupe majibu mazito!!!!?Nimeamini hicho ndicho kipimo cha watu wa magamba aka wezi aka ccm

Ha ha haaaaaa, mbona wewe ukubali sasa kuwa maana ya CHADEMA ni CHAKushindwa ? ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
Hii ndiyo GeniueBrain!! Hivi huu ndiyo upeo wako wa juu kabisa wa kufikiri? kila neno la kiswahili lingeluwa linagawanywa vipandevipande kama ulivyofanya kusingekuwa na maelewano kwa wazungumzaji wa kiswahili. Kumbuka Chgadema ni kufipi cha jina lenyewe la Chama kama ilivyo cccm ni kifupi cha Chama cha magamba.
 
Au waiite Mtei & Mbowe Enterprises (MME)
 
CHAKushindwa iteni tu baraza kuu mbadilishe jina
 
Jana kuna mdau aliweka maana mpya ya UVCCM ilinifurahisha , ngoja niitafute
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…