Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Mii naona hapa Chadema ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Waliochemsha ni wao waliofungua kesi isiyo wahusu, kamahawawezi kulipa jela ipo na watafanywa kama Lusinde alivyosisitiza kwenye uchaguzi wa Arumeru.