Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,872
- 32,650
Nyie makamanda uchwara hamna akili.
Si shida hata ccm wakiunganisha kura zao na za nccr,cuf plus tlp then polisi wakae pembeni still ni ngumu kupenya.Mwandishi kwani unateseka Magufuli kuungwa mkono na vyama vya upinzani?
Zanzibar miaka yote ccm wamekuwa wakichezea za uso ngoja kizazi cha kina Mkapa kiondoke uone Kama watapa ujanja wa kuiba tena.sema polisi wamekuwa wakitusaidia chaguzi zote. hata mwenyekiti wetu aliyepita (JK) alikiri hili kwa uwazi kabisa.
tangu mwalimu atutoke 1999, bila msaada wa polisi chama chetu ni takataka kabisa!
Utakuwa kijana mdogo..hata wakati wa mwalimu chama kimoja hakuwahi kupata 99%Ushindi wa kishindo Kama kawaida CCM 99% MUNGU ibariki CCM MUNGU mbariki Magufuli.
Mkuu CCM ya sasa hata isipopiga kampeni ushindi ni 98% Kwasababu Chadema imechokwa sana na Watanzania kwa tabia zake kutumika na Mabeberu.
Ni wazi hatutakuwa na mpinzani mwenye ushawishi km Lowasa kwa miaka 50 ijayo.
Slaa alimpokea Lowasa, lakini moto ukamwakia nyumbani.Slaa alikuwa sahihi lkn alichokosea ni kuungana na watesi wake.
Kwa hiyo mwaiogopea nini tume huru. Mnafanya siasa peke yenu mwaka wa nne huu, bado mnawaogopa mliyowanyima pumzi.Propaganda za ajabu sana. Kisa cha chadema nini? 2015 kulikuwa na CCM B (wakina lowassa Sumaye Kingunge na wafuasi wao) CHADEMA, CUF, NCCR, nk. Wakatengeneza kitu kinaitwa UKAWA, Ilitisha my frnd. Ikawapa CHADEMA Viti vingi na Mbowe kuwa KUB. Sasa chadema bila lowassa kingunge Sumaye kimtishe li CCM na JPM wake. Sidhani tusubiri kama tutapata 15% za kura Urasi. Na viti zaidi ya vitano vya ubunge
We shall overcomeOk, so kabla ya October kwa mujibu wako bado kipo hai? Chedema kipo na kitakuwepo milele yote, jiandae kisaikolojia, ni chama cha wananchi kutoka moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app