CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

Hujatazama kwa kina kati ya dr slaa na mbowe aliekiinua chama sana ni mbowe skaa alifanya siasa katika kipindi chake kukiwa kumepoa sana kulikuwa na uhuru wa kufanya siasa hakukuwa na kesi nyingi za uchochezi na aliweza kusema chochote kwenye majukwaa lakini sasa mbowe hajafanya siasa yoyote miaka mitano na si yy tu chama hakijafanya kazi zs siasa lakini bado ccm inatumia nguvu kubwa kuandaa ushindi slaa ajaribu kuja kipindi hiki ajaribu
 
CCM bila Polisi...?
Yaani hadi kinyaa. Ccm bahati nzuri wana jua wanaongoza hii nchi sio kwa ridhaa ya wananchi bali kwa ridhaa ya dola.
Hawakuamini kama miaka mitano inge fika kampeni zianze tena.
Mara paaap muda umefika. Sasa ni kutafuta njia za kuzuia Chadema wasifanye sisa. Mara polisi, mara TAKUKURU, mara mahakama, yaani mambo ni mengi. Ila wanatakiwa wajue hata hiyo mingine mitano ita pita na maisha wata kutana nayo huku mtaani..
 
Unajichanganya. Dk. Slaa ndiye aliyemfungulia mlango Chadema fisadi Lowasa. Kwa vyovyote vile, hakuna ubishi kwamba Chadema ndio threat kubwa kwa CCM. kwa vipi ni threat huo ndio unaweza kuwa mjadala!
 
Unajichanganya. Dk. Slaa ndiye aliyemfungulia mlango Chadema fisadi Lowasa. Kwa vyovyote vile, hakuna ubishi kwamba Chadema ndio threat kubwa kwa CCM. kwa vipi ni threat huo ndio unaweza kuwa mjadala!
Siyo kwa nafasi ugombea wa nafasi ya urais kipindi kile.
 
Jipangeni uchaguzi ushafika nyie mnakazi ya propaganda mfu tu!
 
CCM bila Polisi...?
Propaganda za ajabu sana. Kisa cha chadema nini? 2015 kulikuwa na CCM B (wakina lowassa Sumaye Kingunge na wafuasi wao) CHADEMA, CUF, NCCR, nk. Wakatengeneza kitu kinaitwa UKAWA, Ilitisha my frnd. Ikawapa CHADEMA Viti vingi na Mbowe kuwa KUB. Sasa chadema bila lowassa kingunge Sumaye kimtishe li CCM na JPM wake. Sidhani tusubiri kama tutapata 15% za kura Urasi. Na viti zaidi ya vitano vya ubunge
 
Sijui Nani huwa awashauri shauri za kijinga Kama hivo check ile ya kununua watu watu wamelamba pesa still upinzani ungali imara.Labda tu Kama aliwashauri ili ajipigie 20% yake.
Njia pekee ya kuuwa upinzani isiyo na gharama ni kupambana na umasikini then ukiisha upinzani utajifia wenyewe.Kama walivofanya chama cha ukombozi cha china.
 
Sasa mbona mnawazuia kufanya siasa Ila nyie mnafanya for 5 yrs still amjiamini.
Hivi kundi lipi kwenye Jamii kusema limenufaika hadi likosee tena kuchagua? Maana yeye alikuja kuumiza na kukomoa watu badala ya kupambana na umasikini wa watu.
 
Hawezi vumilia haya,au ya kujisaidia kwenye ndoo za bati
 

Attachments

  • tanzania-police-brutality.jpg
    17.6 KB · Views: 7
  • ETGD4eHWoAIgxpL.jpg
    66.2 KB · Views: 8
  • police-Brutality-1.jpg
    29 KB · Views: 9
Siasa ni akili sio nguvu.Huwezi ukapambana na adui kwa kumfanya kuwa adui utowini,mfanye rafiki ili ummalize.
Matured wanasiasa awakimbizani na upinzani Bali uzitekeleza sera za upinzani ili kuumaliza upinzani.
Ukandamizaji wa ccm kwa upinzani for 5 yrs umechangia zaidi kuujenga upinzani kuliko kuubomoa.
Upinzani ni dini ni Imani huwezi iondoa kirahisi.Utauwa watu wataibuka wengine,utawazuia kuongea ndani wataongea nje.
 
Slaa alikuwa sahihi lkn alichokosea ni kuungana na watesi wake.
Dr. Slaa anajitambua, yuko Kama Hawa wabunge wanaohama. Dr. Alipima Kati ya Mbowe na CCM nani mtesi wake mkubwa. Akaona CCM Bora kuliko hao mafisadi wa chadema wanaangalia hela tu na siyo malengo ya upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…