Wilaya Rungwe jumla ya vijiji 155: CCM imepata 132,Chadema 22, CUF kimoja na vijiji vitano kufanya marudio, wakati upande wa vitongoji vilivyopo ni 694: CCM 578,Chadema 111,CUF 2 na TLP viwili.
kwanza kasesera hana ujana wowote wa kuitwa kijana , lakini la pili huyu mtu ni mwepesi kuliko kiroba cha pamba , namfahamu sana nimefanya naye kazi serengeti breweries , hana lolote .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.