Kwani heche na ben ni vijana sasa mbona mpaka mashavu yameshuka.Mbona vijana wa CCM ni WAZEE TU? Ina maana CCM hamna vijana? Au ni matokeo ya kuridhishana vyeo inasababisha haya yote?
Namba ya usajili wa chama cha ukawa ni ngapi wanachama wake wangapi.Magamba endeleeni kurukaruka kama mnang'atwa na siafu sehemu nyeti. Sasa hivi haiko CHADEMA Pekee bali ni UKAWA CD 800,mtaisoma namba.
Unataka maendeleo gani usiseme mambo usiyoyajua dogo maendeleo yapo hata kwenye matunda ona hii.Badala ya kuwafanyia wananchi shughuli za maendeleo wao wanaota na kufanya mipango ya kuiangamiza CHADEMA.
View attachment 155833
"Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu...."
Nimeshindwa kuelewa uhusiano wa huyu nyati kuuawa na Kasesra na kusambaratishwa kwa Chadema huko Rungwe. Kajipange vizuri katika kujenga hoja kaka. Usilete porojo za vijiweni hapa.
Mbona vijana wa CCM ni WAZEE TU? Ina maana CCM hamna vijana? Au ni matokeo ya kuridhishana vyeo inasababisha haya yote?
Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
View attachment 155830
Juu: Mpiganaji kijana Richard Kasesela wa UVCCM Rungwe
View attachment 155831
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi majukuku Kasesela
View attachment 155832
Kazi ndo hiyo, ishaanza: Kasesela afungua tawi la CCM Ntokela, Rungwe Magharibi.
Rungwe Magharibi hapatoshi mwakani...
CHADEMA sahau jimbo la Rungwe Magharibi....
View attachment 155833
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....
Mkuu usihangaike nao wanaonyesha rangi yao halisi nayo ni UJANGILI KUMBE HUYU BWANA NI DUGU MOJA NA KINANAView attachment 155833
"Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu...."
Nimeshindwa kuelewa uhusiano wa huyu nyati kuuawa na Kasesra na kusambaratishwa kwa Chadema huko Rungwe. Kajipange vizuri katika kujenga hoja kaka. Usilete porojo za vijiweni hapa.
Aisee Huyu NYATI Mbona ni Mdogo sana kuwindwa? nashaka na maamuzi ya kumuwinda huyo Nyati maana aanonekana ni mdogo na ajfikia Umri wa Kuwindwa.
Kasesela atapoteza fedha nyingi kuhonga kama ilivyo kawaida ya ccm na ubunge hataupata kwasababu wasokile wamemstukia kuwa ni kikaragosi cha Kikwete!!! Hilo jimbo linamgoja mwenyewe mteule Jose Mwakasyuka!!! Kasesela lazima akubali hivyo!!!!
Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. .
jose mwakasyuka? gwa kughu jose mwakasyuka? ngammanya une!