ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Ila ina mijelediChadema haina kiboko
Ila ina mijelediChadema haina kiboko
Ujobhile nkamu!Highlander nitakuona mwenye busara Kama utatuomba radhi Wa Rungwe kwa kutugusisha kuongozwa na mtu Kama Richard.
Hâta Kama si kuomba radhi, basi angalau kuachana Mara moja na Propaganda zako hizo.
Kama wewe siye Richard mwenyewe basi fikiri Mara mbili au zaidi kuhusu kibatua chako kipya cha huo udalali.
Richard anayo nia ya kuingiza, sawa, lakini uwezo hana hataweza kufanikiwa, ni mzawa Wa Rungwe lakini amejitia upofu kuwaelewa wana Rungwe.
ukaribu wake na familia ya rais yeye anadhani ndiyo kibali cha kuingiza Rungwe. Huwa hatuchaguluwi viongozi Bali tunawatengeneza wenyewe
Nakubaliana na wewe , lakini Tundu akiwa ndani ya chama kilichojaa ufisadi uchwara atayaonaje mabaya ya nje asiyaone ya kwake chamani?
Inamfanya aonekanu kuwa oppurtunist tu asiye na moral bearings.
Mshaurini huyo mtu wenu kuwa miradi hiyo iliahidiwa na Kiwete katika ziara zake wilayani humo.
Na asipoziahidi kufuatilia ili zitekelezwe asijisumbue kutafuta ubunge.
Kwa mtaji huo, heri ya yule aliaye nyikani, pengine atasikilizwa!Batanzania bado tuko katika kipindi cha mpito......hatuna malaika wala mitume katika vyama na hasa vyama hivi pinzani. Tulicho nacho sasa hivi ni tumaini tu kwamba tunafanyaje kuuondoa huo "ukiritimba-mzigo" wa huyo "TAWALA" na upotoshaji wake wa makusudi wa historia, na kisha tukabiliane na vibanzi machoni mwetu vya ufisadi ndani ya vyama vitakavyotukomboa. Kwa lugha nyingine ukiniambia nifanye kuchagua nitasema heri kibanzi cha CHADEMA jichoni mwetu kuliko hilo boriti a.k.a. Chama Tawala.
Kwa mtaji huo, heri ya yule aliaye nyikani, pengine atasikilizwa!
Chama tawala kwa gia hiyo haking'oki wala kutikisika, hasa kikishambuliwa na mtu ambaye ana upbringing ambayo ni doubtful!
Highlander nitakuona mwenye busara Kama utatuomba radhi Wa Rungwe kwa kutugusisha kuongozwa na mtu Kama Richard.
Hâta Kama si kuomba radhi, basi angalau kuachana Mara moja na Propaganda zako hizo.
Kama wewe siye Richard mwenyewe basi fikiri Mara mbili au zaidi kuhusu kibatua chako kipya cha huo udalali.
Richard anayo nia ya kuingiza, sawa, lakini uwezo hana hataweza kufanikiwa, ni mzawa Wa Rungwe lakini amejitia upofu kuwaelewa wana Rungwe.
ukaribu wake na familia ya rais yeye anadhani ndiyo kibali cha kuingiza Rungwe. Huwa hatuchaguluwi viongozi Bali tunawatengeneza wenyewe
Ujobhile nkamu!
Highlander hebu mfahamisheni huyo kijana-wa-mujini kuwa wakazi wa Rungwe si wajinga kiasi hicho na tatizo lao si CHADEMA.
Tatizo la Rungwe ni barabara kujengwa toka pale Katumba hadi Mwakaleli, Masebe hadi Ruangwa -Mbambo, na vile vile barabara ya Tukuyu hadi Ipinda.
Mshaurini huyo mtu wenu kuwa miradi hiyo iliahidiwa na Kiwete katika ziara zake wilayani humo.
Na asipoziahidi kufuatilia ili zitekelezwe asijisumbue kutafuta ubunge.
Ndugu Chikaka Sumuni unaonaje ukianzisha thread kwa hili jambo? Hapa hutazitendea haki hoja za Tundu Lissu kwani tunajadili ukiboko wa kinachoitwa KIBOKO cha CHADEMA kilichotumwa huko Rungwe Magharibi.NIMEMSIKILIZA vema Tundu Lissu. Amesema bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.
Wasiomwelewa, au wanaoogopa kujibu hoja zake, bila shaka kwa kutokuwa na majibu, wamekimbilia kusema kwamba Lissu ametukana waasisi wa nchi.
yake.
Imeandikwa na Ansert Ngurumo
Ndaga mujobhile!
Mkuu Consigliere niseme hivi: kwamba ni kweli wana Rungwe wa siku hizi tupo tofauti na wale wa zamani. Nakubali kuomba radhi kwako kwa kuweka taarifa ambayo pengine hujaielewa vizuri. Isome vizuri na kwa umakini naamini utaielewa tu. Nimekusoma mara nyingi sana humu wewe ni mtu makini. Kwa hiyo wewe soma tu vizuri hii taarifa utaelewa.
Umesema ukweli kabisa wanarungwe wa sasa hatutaki kuchaguliwa viongozi. Kama ulikuwepo Tukuyu mwaka ule 2005 vijana wa CCM walitoa tamko hili kwa matendo kwa kumsimika Diwani wa kata ya Bulyaga kutoka CHADEMA. Nadhani ccm rungwe watakubali kuwa wanarungwe si watu wa kuburuzwa tena.
Aliletwa katibu mpya wa CCM wilaya baada ya uchaguzi ule wa 2005 akawashauri wakazi wanaCCM wa Kata ya Bulyaga kugomea ujenzi wa Shule ya Sekondari Bulyaga kwa kuwa Diwani alikuwa CHADEMA, vijana wa CCM waligoma kabisa kutii amri ile wakieleza kuwa yule diwani Alipipi wamemweka wao wenyewe kupinga kulazimishwa kumpenda mzee walikuwa hawamtaki. Vijana wale walisema eti kile kiti cha udiwani walikuwa wamewaazima tu CHADEMA kwa miaka mitano alaf watakichukua; Walisema eti kwao tatizo la Kata ya Bulyaga ni Maendeleo, SI vyama.... na kwamba wao wataweka mtu anayefaa bila kujali anatoka chama gani, na yule katibu alilazimika kusalimu amri. Hiyo ndiyo Rungwe mpya.
Ngoja nimalize hivi: kwamba nakuelewa. soma hiyo taarifa vizuri utaielewa tu... Samahani lakini kwa usumbufu.
Kwl chadema wanatisha sn kila mkilala mkiamka mawazo yote ni chadema tu,
Inawanyima usingiza keshen mkiwanga,
Moto wa chadema hamuuwez
Mkuu mimi natoka sehemu hizo na naona kinachoendelea.nasikia ya kuelekea Rwangwa itawekwa lami kabisa...ingwa sijui ni lini wanaweka hiyo lami. Ngoja tusikilizie.... wamesindiliapo kidogo vikokoto kuelekea huko. kuna mtu kasema pale tandale wametengeza hadi kama strabag kwenye njia za waenda kwa miguu ingawa sijachunguza mwenyewe kuona kama hilo ni kweli.
Mkuu mimi natoka sehemu hizo na naona kinachoendelea.
Matengenezo ya barabara ya kutoka Tukuyu kuelekea Masoko, kweli kazi imeonekana lakini inaenda kwa mwendo wa jongoo na sidhani kama itaenda zaidi ya kilometa 2 au 3 toka Tukuyu.
Na mkandarasi aliyewekwa kwa kazi hiyo ni kinda mno kwa kazi kubwa.
Pale Ktumba kuelekea Mwakaleli HAKUNA kazi yoyote iliyoanza kutekelezwa na Kikwete aliyeahidi kazi hiyo ndiyo anayoyoma.
Hivyo basi huyu Kasesera asilete uswahili katika hili, kama anafahamiana na Kikwete aseme kama miradi hii imo na imewekwa kwa utekelezaji katika Bajeti ya mwaka huu 2014/2015.
Mkuu hata pale Langiboss kwa Allen hazijafika!!!Ha ha ha ha....Acha utani Gwa Kisa! Barabara ya masoko zile kokoto kumbe hata Kasyeto hazijafika? kwa hiyo mwisho wa kokoto ni pale kwa Mbira, au? kha! utani huu sasa....