CCM yatuma 'Kiboko ya CHADEMA' Rungwe Magharibi

CCM yatuma 'Kiboko ya CHADEMA' Rungwe Magharibi

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,077
Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.

kasesela.jpg

Juu: Mpiganaji kijana Richard Kasesela wa UVCCM Rungwe

Kasesela 2.jpg
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi majukuku Kasesela

Kasesela Ntokela.jpg

Kazi ndo hiyo, ishaanza: Kasesela afungua tawi la CCM Ntokela, Rungwe Magharibi.
Rungwe Magharibi hapatoshi mwakani...

CHADEMA sahau jimbo la Rungwe Magharibi....

Kasesela na Nyati.jpg

Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....
 
Asisahau kuwa tunakumbuka kuwa aliwahi kutishia watu na bastola pale kiwila.
 
Kumbe ili uwe Kiboko ya Chadema lazima uwe pia hatari kwa wanyama pori kama yule Katibu wao. Nackia wakisema nae ni kiboko ya Chadema kumbe mpaka wanyama
 
Kumbe ili uwe Kiboko ya Chadema lazima uwe pia hatari kwa wanyama pori kama yule Katibu wao. Nackia wakisema nae ni kiboko ya Chadema kumbe mpaka wanyama

Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.

View attachment 155833

Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....

kumbe na wewe umeona ee?! ha ha ha ha.....
 
Huwajui wanyakyusa wewe. Kiboko hawakitaki wanataka maendeleo. Viboko huwa havisogeleki, vinararua yeyote anayesogelea jirani na wla havina msaada ila majanga kwa yeyote. Kauli mbiu yenu inawakaanga kwa mafuta yenu wenyewe. Huyo kumbe anaweza kuua wakati yeyote mtu yeyote anayemweleza maelezo ambayo yeye hayapendi kuyasikia, hana uvumilivu wa kiutu na kisiasa ndio maana aliwatishia watu kwa bastola kule Kiwira. Ni kiboko hukohuko ccm na sera za ntarahamwe Kama unabisha subiri hiyo 2015
.
 
Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.

View attachment 155830

Juu: Mpiganaji kijana Richard Kasesela wa UVCCM Rungwe

View attachment 155831
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi majukuku Kasesela

View attachment 155832

Kazi ndo hiyo, ishaanza: Kasesela afungua tawi la CCM Ntokela, Rungwe Magharibi.
Rungwe Magharibi hapatoshi mwakani...

CHADEMA sahau jimbo la Rungwe Magharibi....

View attachment 155833

Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....
View attachment 155848
huyu ndio kiboko yenu
 
Kazi ipo!!kupambana na chadema ni kupambana na nguvu ya umma itakula kwa watu jamani
 
Kwl chadema wanatisha sn kila mkilala mkiamka mawazo yote ni chadema tu,
Inawanyima usingiza keshen mkiwanga,
Moto wa chadema hamuuwez
 
Magamba endeleeni kurukaruka kama mnang'atwa na siafu sehemu nyeti. Sasa hivi haiko CHADEMA Pekee bali ni UKAWA CD 800,mtaisoma namba.
 
View attachment 155833
"Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu...."

Nimeshindwa kuelewa uhusiano wa huyu nyati kuuawa na Kasesra na kusambaratishwa kwa Chadema huko Rungwe. Kajipange vizuri katika kujenga hoja kaka. Usilete porojo za vijiweni hapa.
 
Mbona vijana wa CCM ni WAZEE TU? Ina maana CCM hamna vijana? Au ni matokeo ya kuridhishana vyeo inasababisha haya yote?
 
Back
Top Bottom