AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Si mlisema CHADEMA imekufa na sasa mpo kwenye matanga? Inakuwaje leo mtume hicho kibogo chenu kwa CHADEMA?
hongera sana kijana mchapakazi
View attachment 155833
"kijana richard kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha chadema rungwe magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya chadema kuchukua jimbo ya rungwe magharibi isahaulike.
kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu...."
nimeshindwa kuelewa uhusiano wa huyu nyati kuuawa na kasesra na kusambaratishwa kwa chadema huko rungwe. Kajipange vizuri katika kujenga hoja kaka. Usilete porojo za vijiweni hapa.
Mkuu hata pale Langiboss kwa Allen hazijafika!!!
Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
View attachment 155830Ka
Juu: Mpiganaji kijana Richard Kasesela wa UVCCM Rungwe
View attachment 155831
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi majukuku Kasesela
View attachment 155832
Kazi ndo hiyo, ishaanza: Kasesela afungua tawi la CCM Ntokela, Rungwe Magharibi.
Rungwe Magharibi hapatoshi mwakani...
CHADEMA sahau jimbo la Rungwe Magharibi....
View attachment 155833
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....
Si mlisema CHADEMA imekufa na sasa mpo kwenye matanga? Inakuwaje leo mtume hicho kibogo chenu kwa CHADEMA?
kiboko ya ccm ni Lowasa
MaSarakasiSi mlisema CHADEMA imekufa na sasa mpo kwenye matanga? Inakuwaje leo mtume hicho kibogo chenu kwa CHADEMA?
kasesera mhangaikaji tu maisha yamemshinda mjini sasa Rungwe pole!