CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.

Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.

Wengine wako bize na maandamano! Wakija kushituka watasema ccm imewahujumi!
 
Hahaha ccm si uwa wanateuana tu, sasa barua za nini na wao wanajuana wote walioko huko?!

Wakiomba nitashangaa, kwanini waombe wakati spika na naibu wanajulikana.

Kwanini yeye Polepole na Bashiru wasiombe hizo nafasi kama kweli zinaombwa?!
 
Hakuna kitu kama hicho, Kama ni namba wataisoma namba ndugu na jamaa zako mtaani unaofikiri labda mkono wa chuma utawaacha nyuma.BULSHT
Chadema ni kweli imefutika kama TZ nzima wana mbunge mmoja tu huoni kweli imefutika?
 
Hahaha ccm si uwa wanateuana tu, sasa barua za nini na wao wanajuana wote walioko huko?!

Wakiomba nitashangaa, kwanini waombe wakati spika na naibu wanajulikana.

Kwanini yeye Polepole na Bashiru wasiombe hizo nafasi kama kweli zinaombwa?!
Omba tu mkuu hujakatazwa, hujasahau ya mzee sita? Ccm tuliamua iwe zamu ya wanawake tukampa Anna makinda agombee! Omba mkuu zari linaweza kukuangukia.
 
Siyo muda mrefu ma-CCM yatajigundua kuwa wote ni Vipofu na kwa kawaida kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzake
we nae umetumwa na nani humu?? Mkuu wenu halima mdee (ERYTHROCYTE) amepotea toka tar 28,wewe unapata wapi hiyo jeuri??
 
Omba tu mkuu hujakatazwa, hujasahau ya mzee sita? Ccm tuliamua iwe zamu ya wanawake tukampa Anna makinda agombee! Omba mkuu zari linaweza kukuangukia.
Hahaha waliishaamua spika ni Tulia, sasa unaomba ili iweje?!

Ccm hakuna kushindanishwa, anateuliwa anayempendeza yeye kwa maslahi yake, sasa unaomba nini, labda akipigie simu yeye na akwambie omba.

Hahaha tumeshajifunza hakuna haja kuomba, tunasubiri tuteuliwe tu.

Nchi huru na ya kidemokrasia hii ndugu.
 
Nani kakuambia
 
Back
Top Bottom