CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

Nina wasiwasi na weledi wa aliyekupa nafasi uliyo nayo kichama Nape Nnauye. Nadhani hujui ethics za ukatibu uenezi wa chama kwani huwezi kuwa mwenezi wa CCM na CHADEMA at the same time!

Na kwanin CHADEMA tu while we have 18 other political parties?
Nadhani anaangalia chama chenye kiherehere sana
 
Chadema, Chadema, Chadema... Nape we ni muenezi wa CCM.. Why should all your speeches start with Chadema? Kuna vyama vingine 18 ambavyo vilikuwa na mandate ya kuweka mgombea huko... Lakini asubuhi yote hii umekurupuka kitandani kuja kuandika kuhusu CDM. Kweli wamekushika pabaya...

chadema ni chama ch wahuni na wafanya vurugu ndiyo maana kaanza na watu wenye kelele nyingi ambazo hazina mantiki.
 
Kuna maeneo ukitaja chadema,waweza pigwa kama mbwa mwizi,hawataki hata kuisikia.

Bado sina hakika na hilo la kwako nadhani unajifariji tu, ila maeneo mengi ya nchi na hasa sumbawanga mjini, mbeya na tunduma, Iringa ukipita mtaani na nguo ya kijani au njano unachezea kichapo na bahati mbaya hata kama haijaandikwa CCM, hii si ngonjera kama yako ukidhani utani kapite na gunia lenye nembo ya CCM maeneo hayo uone kama hautarudi nyumbani na boxer au kama ulivyozaliwa. what is ccm in this country some of them ask so.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Twambie kwanza hiyo kata ilikuwa inaongozwa na chama gani? kama ni CCM ipi ajabu? Na kuhusu CDM kuelekeza nguvu zake Arusha ambako wewe mwenyewe unafahamu umuhimu wake kwa mustakabali wa UMEYA wa Arusha hata mwenda wazimu angeamua kuwekeza Arusha zaidi ili achukue Manispaa inayo wanyima usingizi.
 
NAPE NNAUYE una mafilifili kichwani...................acha kuropoka ropoka.....vyama vipo zaidi ya kumi na sita ila wewe kazi kuipigia DOMO CDM :kev:
 
Chadema, Chadema, Chadema... Nape we ni muenezi wa CCM.. Why should all your speeches start with Chadema? Kuna vyama vingine 18 ambavyo vilikuwa na mandate ya kuweka mgombea huko... Lakini asubuhi yote hii umekurupuka kitandani kuja kuandika kuhusu CDM. Kweli wamekushika pabaya...

hii inanipa hofu kuwa chama chetu CCM kimekamatwa vibaya na CDM na viongozi wetu wa kitaifa hawapumui.
 
Axee katika viongoz wa CCM walokosa upeo we unaongoza dah rudi shule dogo jipange tena
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Naisikitikia sana Tanzania yaani kiongozi mkubwa wa chama anatoa mipasho badala ya kuzungumzia mambo ya kupeleka maendeleo Ruvuma duh kazi ipo.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!
umasikini wa wananchi waliopo vijijini ni mtaji wenu kwa kuwarubuni wananchi waliopo vijijini, langiro hakuna umeme, barabara nzuri, ndo mtaji wenu! Endeleeni kuwarubuni wananchi waliopo vijijini kwa kuwafanya mtaji wenu shame on you!
 
Nape Nnauye vipi CUF na NCCR Wao walikuwa na wagombea? Hii ni pamoja na TLP na UDP au CHADEMA wanakunyima usingizi hadi vyama vingine huoni Kama they are existing?? Pole
 
Last edited by a moderator:
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Kawaambie mafisadi wenzio kule Ruaha wamtoe mgombea wa Cdm walikomfunga then uchaguzi ufanyike...! Waovu wakubwa nyie mtalaaniwa kwa hila zenu!
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Hii habari binafsi imeniuma sana.Ni wiki kama mbili tu zilizopita niliomba chadema kuja Ruvuma kufanya mikutano ya mfululizo.Tena katika mchango niliotoa niliwatahadharisha katika moja ya mada hapa JF kuwa kama haitafanya juhudi za makusudi basi kata ya Langiro iliyopo wilayani Mbinga itachukuliwa na CCM.Leo yanatokea haya.Inauma sana.Lazima chadema ibadilishe mwenendo huu wa kuwekeza eneo moja.Arusha kwa sasa wanajulikana sana.Ili kuondoa dhana ya ukanda kama kina Nape wanavyotutahadharisha inabidi watoke huko waje pia huku Ruvuma.Vinginevyo chadema itaendelea kuimbwa ni chama cha kikanda zaidi badala ya kuwa na sura ya kitaifa.Chonde viongozi wangu kama mnataka kusafisha hewa chafu ya kina Nape basi lazima mje kwa haraka huku kabla mwaka huu haujaisha.
 
Nape naona umekurupuka baada ya kuwaokota ndugu zangu wa kusini, umewanyima barabara za lami vijijini, umeme vijijini, siku ndugu zangu wangoni, wamatengo na wanyasa wakielimika ndo utakuwa mwisho wa ccm kwa taifa letu, endeleeni kwa kuwarubuni watanzania na wa kusini!
 
Jamani tufike mahala tukubali kuwa vyama hapa nchini kwa upande wa bara ni viwili tu Chadema na ccm.Hivi vingine ni kama wasindikizaji tu.Kule visiwani Nape lazima aseme CUF na ccm ndio wenye nguvu.Yupo sahihi kwake kufocus zaidi Chadema.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!
tatizo la chadema ni kuamini tanzania ni mjini tu! Sasa wanataka kuweka ngùvu zote arusha, miongoni mwa mikoa ambayo chadema wameisahau sana ni mkoa wa Ruvuma, mkoa huo viongozi wa chadema ni dhaifu sana, dr slaa anang'ang'ania maeneo mengine tu! Ila wimbo mkuu ni cdm mwaka 2015 ikulu. Chadema watasubiri sana kwa kweli!
 
Hata Cuf mbona wapo lakini kama kweli chadema hilo kosa kubwa viongozi wa hayo maeneo waeleze
viongozi wengi wa chadema ni kama wachuuzi tu.hawafanyi kazi ya kujenga chama chao, wao ni kujitapa tu na si vinginevyo!
 
Ruvuma ni mbali na makao makuu ya CHADEMA hivyo wanapaswa kusamehewa huko chama hakijafika kikamilifu; shangaa hata kata ya Mianzini, wilayani Temeke, mkoani DSM inasadikiwa CHADEMA hawatii nguvu yeyote kugombea udiwani; WAO ni ARUSHA tu; haya ni maajabu ya CHADEMA
chadema wana mambo ya ajabu sana, cheki hata wabunge wa viti maalumu wengi wanatoka maeneo gani? Hiki chama hakina dhamira ya dhati ya kuongoza tanzania ni maneno tu!
 
Nape Nnauye ni mwongo, kule kwetu hatuna Langido, tunayo Langilo ipo wilaya ya Mbinga! Nape njoo utuambie ahadi za Jk hasa ya maisha bora zimetekelezwaje?
ni hiyohiyo langiro mkuu karibu na eneo linaloitwa hagati! Ccm ni namba 1.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom