CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

Chadema hawa mpango mkakati wa kulikomboa taifa letu, wao wanafikiri Tanzania ni Arusha, kilimanjaro na mwanza tu, tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
images

Kila nikiona picha hii mwili hunisisimka na machozi hunitoka, Kweli Mr ndovu kama unahusika gadhabu ya Mungu na iwe juu yako!

Back to the issue, Nape mbona unashangaza? Kwamba CHADEMA wanakufa kwa kasi ya ajabu? ama mi sielewi kiswahili?? kwa maana wao ndo walikuwa watawala ila kwa sasa wanaporormoka kwa kukosa watu wa kuwasimamisha? Labda ungesema CHADEMA bado hawajakua na kuenea nchi nzima!

Kwa CCM ikiwatokea ndo tunasema inakufa kwa kasi ya ajabu, but kwa CHADEMA sahihi ni haijakua...
 
Sarakasi za ccm zinanikumbusha Mwanza kwenye uchaguzi mkuu 2010 pale wananchi walipotangaziwa pale uwanja wa ccm kirumba tena mkuu wa nchi eti Masha ndie mbunge wa jimbo la Nyamagana aliyepita bila kupingwa na kumnyanyua kumtambulisha jamani loooh yako wapi,ccm wamezoea kama waliweza hata kuyafanya haya mbele ya kiongozi wao mkuu watashindwa vipi kwa haya ya udiwani?
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

wakati unaingia ccm kama mwenezi nilikuona wa maana sana,maana ulipania kukisafisha chama lakini kazi ile imekushinda ukaona uwe unapata faraja kupitia CHADEMA,maana siku hizi hujengi chama tena bali umeamua kujiunga indirectly na TOT,siku hizi uzungumzii tena ubadhirifu wa mali ya umma,huzungumzii ufisadi,matukio ya kifisadi uliokuwa unayapinga sasa unayaunga mkono,tembo wanakufa unacheka,si ajabu kama kinana hasingejulikana ungeweza sema slaa na chadema wanaua tembo,jirekebiahe mkuu kabla manbo hayajakuharibikia zaidi.,
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Ingefaa zaidi kama mara nyingine ungekuwa unaweka post zenye kuonesha hatua mlizofikia kwenye kutekeleza ahadi mlizotoa kwa wananchi mwaka 2005 na 2010 badala ya kuendelea kucheza ngoma ya CHADEMA muda wote.
 
Naisikitikia sana Tanzania yaani kiongozi mkubwa wa chama anatoa mipasho badala ya kuzungumzia mambo ya kupeleka maendeleo Ruvuma duh kazi ipo.
ccm imewatenga wanaruvuma kwenye suala la maendeleo, kazi yake ni kuvuna kura na kuwawekea wabunge vihiyo kama kina kepteni komba, emanuel nchimbi na wenzake!
 
Hii habari binafsi imeniuma sana.Ni wiki kama mbili tu zilizopita niliomba chadema kuja Ruvuma kufanya mikutano ya mfululizo.Tena katika mchango niliotoa niliwatahadharisha katika moja ya mada hapa JF kuwa kama haitafanya juhudi za makusudi basi kata ya Langiro iliyopo wilayani Mbinga itachukuliwa na CCM.Leo yanatokea haya.Inauma sana.Lazima chadema ibadilishe mwenendo huu wa kuwekeza eneo moja.Arusha kwa sasa wanajulikana sana.Ili kuondoa dhana ya ukanda kama kina Nape wanavyotutahadharisha inabidi watoke huko waje pia huku Ruvuma.Vinginevyo chadema itaendelea kuimbwa ni chama cha kikanda zaidi badala ya kuwa na sura ya kitaifa.Chonde viongozi wangu kama mnataka kusafisha hewa chafu ya kina Nape basi lazima mje kwa haraka huku kabla mwaka huu haujaisha.
kwa kiasi fulani uko sahihi, tatizo la chadema mkoa wa ruvuma ni kwamba viongozi ngazi ya mkoa ni mizigo, wao ni kukaa tu, pia viongozi wa chadema wilayani mbinga wako kama picha tu, mi nadhani ni vizuri wananchi waamshwe ili kuwapa elimu ya uraia! Mbinga wabunge wanaenda kuchukua majimbo na si kugombea ubunge! Ndo maana wabunge wa mbinga ni mizigo kwa wananchi kama kayombo na komba, sijui wanafanya nini bungeni zaidi ya kupiga usingizi!
 
Mafalili, kwa bahati nzuri kata ya Mianzini Chadema itashinda, wewe uko mbali sana kiongozi na kata hii na kama uko Dar karibu tukapimane nguvu, tunajua kuna vyama sita vimesimamisha wagombea, na ninakuhahidi kiongozi kwa kuwa siasa siyo chuki karibu pale Mianzini acha kujificha humu, njoo ukitetee chama chako cha Magamba......, lakini umemsikia mgombea wenu alivyo?.... hakya mungu Utacheka....mbaya sana ule mgogoro wao na mitaa migine, yetu macho.

kamanda Mungu akijalia nitatua hapo mianzini tuitafune ccm pamoja , tena nina hamu Nape awepo tuchapane vizuri
 
Nilisikia mtamsimamisha mtoto wa mwandosya ni kweli? Vipi Cuf, nccr, tlp, chauma, wamesimamisha wagombea?
 
Mhe. nape nakupongeza kwa kusema ukweli kuhusu chadema kuwa itapewaje nchi wakati imeshindwa kusimamisha mgombea kwenyekata hiyo.swali vyama vote katka nchi umeona cdm tu.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Ha ha ha yan inaonyesha kabisa ww ni mtu wa chama cha mapinduzi........ndo maana umekuwa na shaka juu ya sisi chadema kuchukua nchi mwaka 2015
 
Unajua kwenye mazingira ya mpasuko ndani ya chama ningekuwa bosi wa mleta uzi huu nigeanza kumtilia mashaka hata kw apost hii tu.

Angaliahii RED na BLUE,

Kama wewe ni msemaji wa taasisi mzuri, huwezi kusema mpinzani anaelekea kufa kwa speed halafu unamalizia na neno kukomaa.

Sasa, sijui hiyo speed ni ya kuelekea upande gani, maana hizo ni pande mbili tofauti.
 
CHADEMA sio makao makuu jamani,wala sio Slaa na Mbowe,na msiwalaumu Viongozi kwamba wanaegemea Arusha tu,watu wa Arusha wamejikomboa,hawana woga tena,wameamua kujitoa mhanga,huko kwetu CCM inacheza rafu kwa kuona hakuna waliojitoa mhanga,mjue hii sio kazi rahisi,watu wapo jera,wasomi hawapo tayari kukijenga chama,wanataka mafaniko bila maumivu.....KILICHOTOKEA RUVUMA ni aibu ya wanaruvuma sio CHADEMA...kushiriki kuleta mabadiliko ni fahari ya mtu mwenyewe,sio ukae pembeni utegemee Dr Slaa na Mbowe ndo watazunguka Tanzania yote,haiwezekani.....NI AIBU YETU SOTE.

Chadema hawa mpango mkakati wa kulikomboa taifa letu, wao wanafikiri Tanzania ni Arusha, kilimanjaro na mwanza tu, tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
Ukiona mtu anakusema mara kwa mara lazima ujue anakuogopa na kama hakuogopi physically anakuogopa ideologically M4C ni kiboko cha Uchafu ulioenea tangu uhuru. Inaskitisha huyu mwenezi anashindwa kueneza sera zilizoshindwa kuitetea nchi anaeneza mambo kinyume kabisa. CCM itakufa wala hiki kizazi hakipiti kabla jambo hili halijatokea ama kweli MFA MAJI HAKOSI KURUSHA MIKONO JUU KWA KUHISI ATAOKOKA POLE SANA SAFARI HII HAMTOKI NDANI YA DK 90. Mnajidanganya kwa kudhani kuwa mnapendwa na wananchi ukweli ni kwamba mmechokwa na wananchi haswa masikini walio wengi 80% of Tanzanians.
 
Chadema haina uwezo wa kushindana na Ccm.....kama huamini subiri kata zitoke matokeo baada ya uchaguzi kama hawajashinda arusha peke yake.
 
Ha ha ha yan inaonyesha kabisa ww ni mtu wa chama cha mapinduzi........ndo maana umekuwa na shaka juu ya sisi chadema kuchukua nchi mwaka 2015

Well said, hofu tu ndo immemsukuma kuandika hili, na siyo cdm kusimamisha au kutosimamisha mgombea
 
Nape hakuna chama kama COM. You can see by yourself. Members are respected. I think this is what CCM fear about. Tumaini has come with explanation that shows how respective they are to their members and how close to them. It was from this pressure there is a slim chance for CDM to slip. Nape si tatizo sana kwa COM kutokusimamisha mgombea kwenye kata moja. Kwani 2010 walisimamisha majimbo yote? Kwa nini mnataabika? Mnaruhusu vipi akili za watu wachache zitawale za watu wengi bungeni? So Nape is not about the number but how smart you are. It is about creating faith. It is about having people behind you to support you and correct you and even hold you when you mis a step. Your allegation, do not destruct to party rather make it strong and keep moving. That now become your weekess. Kwa ndugu yangu Makene, it is time to change tone in our speeches. Talk to people loudly and clear. Kuna mambo mengi ya hovyo juu ya serikali ya CCM ambayo wananchi wanahitaji kujua tuwaambie kwa sauti watakayoisikia vyema. Watanzania wanataka mabadiliko. Tutumie uongeaji wa Mh. Zitto au Mh. Msigwa.
 
Nape ufafanuzi plz iyo kata unayoizungumzia ipo Ruvuma ipi?maana yaonekana ngeni kwa wana Ruvuma wengi isije kua mmeanzisha kata mpya maana hamchelewi nyie.

hiyo kata ipo ukitoka maguu kata inayofuata lkn wananchi wengi wa hayo maeneo wana uelewa mdogo kisiasa kwa hiyo siyo ajabu chadema kukosa mgombea kwani ktk uchaguzi mkuu uliopita chadema walishinda kata ipi ktk wilaya nzima ya mbinga mbona mh sijakusikia ukiiongelea lizaboni pale songea mjini. Chadema naona wanadhibiti sehemu muhimu ndiyo maana 2010 walikula miji muhimu mbeya mwanza arusha iringa ubungo na kwingineko
 
CHADEMA sio makao makuu jamani,wala sio Slaa na Mbowe,na msiwalaumu Viongozi kwamba wanaegemea Arusha tu,watu wa Arusha wamejikomboa,hawana woga tena,wameamua kujitoa mhanga,huko kwetu CCM inacheza rafu kwa kuona hakuna waliojitoa mhanga,mjue hii sio kazi rahisi,watu wapo jera,wasomi hawapo tayari kukijenga chama,wanataka mafaniko bila maumivu.....KILICHOTOKEA RUVUMA ni aibu ya wanaruvuma sio CHADEMA...kushiriki kuleta mabadiliko ni fahari ya mtu mwenyewe,sio ukae pembeni utegemee Dr Slaa na Mbowe ndo watazunguka Tanzania yote,haiwezekani.....NI AIBU YETU SOTE.
nakuunga mkono mkuu, aibu hii ni kwa viongozi wa chadema mkoani ruvuma kwa uzembe wa kutohamasisha chama, kazi yao ni kukaa tu maofisini. Pia uongozi Wa chadema wilayani mbinga ni kama picha tu!
 
hiyo kata ipo ukitoka maguu kata inayofuata lkn wananchi wengi wa hayo maeneo wana uelewa mdogo kisiasa kwa hiyo siyo ajabu chadema kukosa mgombea kwani ktk uchaguzi mkuu uliopita chadema walishinda kata ipi ktk wilaya nzima ya mbinga mbona mh sijakusikia ukiiongelea lizaboni pale songea mjini. Chadema naona wanadhibiti sehemu muhimu ndiyo maana 2010 walikula miji muhimu mbeya mwanza arusha iringa ubungo na kwingineko
mkuu uko sahihi, nayakumbuka maeneo hayo, lakini kutoa elimu ya uraia katika eneo hilo ni wajibu wa viongozi na wanachama kwa wilaya hiyo ya mbinga, viongozi wa chadema mbinga ni kama hawapo vile, pia viongozi wa mkoa pia hawawajibiki katika kukijenga chama!
 
Back
Top Bottom