PreGE2025 CCM yapata aibu tena Sumbawanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.

Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.

Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.

View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19

Tutaelewana tu.. mamaee..
✍️✍️
 
Hiko chama cha saccos mwenyewe kaingia mitini, nyie mapoyoyo mnaendelea kupigwa eti tone tone.
Kabla hamjachanga mjue pesa zenu zinatumika vipi mabwege nyie.
Account ya ruzuku ni moja tu hamjui hata hizo pesa zinaenda wapi, nyie kila mlio wa mchango mnafuata tu mnaliwa kichwa.
Changeni mkumbuke mna deni la x mwenyekiti na wakweze.
Na ofisi yao.
Kaeni mkao wa kuliwa.
 
Subiri tutaona.
 
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Hivi hata hawajui kuwa simu zina sauti kubwa kuliko hayo magari ya matangazo?
 
Unaambiwa wananchi wamemsindikiza Lissu hadi hotelini alipofikia na wakagoma kuondoka🤣🤣🤣

Huyu jamaa kweli ni mpakwa mafuta wa Mungu mwenye kazi maalum ya Mungu kwa watanzania
Hahahah.....So amazing
 
Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.

Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.

Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.

View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19

Nyie nyumbu uzushi ndio ujuzi wenu
 
Hiko chama cha saccos mwenyewe kaingia mitini, nyie mapoyoyo mnaendelea kupigwa eti tone tone.
Kabla hamjachanga mjue pesa zenu zinatumika vipi mabwege nyie.
Account ya ruzuku ni moja tu hamjui hata hizo pesa zinaenda wapi, nyie kila mlio wa mchango mnafuata tu mnaliwa kichwa.
Changeni mkumbuke mna deni la x mwenyekiti na wakweze.
Na ofisi yao.
Kaeni mkao wa kuliwa.
Na bado mtachanganyikiwa sana mwaka huu baada ya hizi propaganda zenu mfu kufeli.
 
Back
Top Bottom