CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...



Join Date : 14th September 2008
Posts : 393
Rep Power : 593
Likes Received: 422
Likes Given: 0



Wewe kweli ni noma, hapo kwenye nyekundu !
 
Hapo kwenye RED naunga mkono hoja...na kweli, kwa maana hiyo kuandika barua ni kiroja!
 
Kuhusu mashaibu ya Hussein Bashe kule CCM, ... Mbiki Msumi, baba yake alikua Jaji hapo nyuma kidogo na mdogo wake yuko njiani naye kuelekea huo huo ujajia akitokea mahakama kanda ya Arusha.

Hata hivyo, mwelekeo wowote juu ya Bashe, Kinana pamoja na Rage itakua na ujumbe mzito sana nyuma yake kama ambavyo ilivyowahi kufikirika hapo nyuma kidogo.

Mzee Kinana, kama Bashe, pole sana na yaliokupata kisiasa leo upenuni mwa jumba hili linalokimbiwa kwa jina la CCM. Laiti ungalijua mapema ....
 

Unataka tukuamini wewe kuwa ndio unaona umri wa kinana ni wa kustaafu siasa???kinana bado kwa maana ya uwezo anaweza kutumikia CCM hata kwa miaka 10 zaidi na kuongeza 10 kama mshauri...khs afya sijui na familia niambie wewe nanai katika historia ya nchi yetu na hata CCM ameacha uongozi wakati anaumwa wengi ufia kwenye kazi na siasa ili wapate msaada zaidi wa kimatibabu habari ndio hiyo unajaribu kupotosha mamobo.

LKN ukweli ni kuwa ni mapema sana kwa kinana kuaacha siasa there must be something wrong some where...think abt it.
 
Nape nae kaleta vimaneno vichache, sisi atuletee barua yote ukute na yeye kachambua maneno yanayo mridhisha.

Naona suala la mzee kungatuka ni kweli ila Nape anasema sababu alizoziandika mtoa mada sizo
 
Halafu huyu Judi wa Kishua ni mkabila, uchaga unatoka wapi tena? Kwanza kusema CDM ni chama cha kichaga ni kosa na huko ni kutudhalilisha sisi tusio wachaga.......kwa hili nimechefukwa na roho!!!!

achana naye ANAMIMBA YA UKABILA huoni anavo tematema mate hapa jf harafu yananuka ukabila kweli naona sio mda mrefu atajifungua FARASI.MAANA ANA DALILI ZOTE!
 

hapo kwenye undugu ndio kero kwangu familia na watoto,dada,na mashangazi,binamu daaah vyama vya kiafrika bana ni tatizo ANC kidogo bora democratic USA Jamani vyama vibadilike tumechoka kuvumilia ujinga.
 
Kuna dhoruba inaikumba ccm mda si mrefu sasa kinana hataki kuwa sehemu ya waathirika wa dhoruba hiyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu Mwita. Hapa tunajadili ishu ya kinana. Wewe kama una yako na Ndungulile anzisha thread tutachangia
Hivi na wewe siku hizi umejiunga kwenye kundi la wajinga? tatizo la hiyo post ya Mwita Maranya ni nini? ni irrelevant!!
 
Kesho utasikia Kinana si Raia wa Tanzania maana lazima ameng'atuka si kwa kheri.WACHA MAGAMBA WAZIKANE.Nimepata taarifa kuwa Nape Nnauye Anampigania Mwasisi mwenzie wa CCK Bw Makonda kushinda UVCCM kuimarisha S.Sitta Vission 2 state house.
 
Nape,
Pasco kauliza, je Kinana kaandika barua? hatuhitaji maudhui tunachotaka kujua ni kama amefanya hivyo.
 
Mimi Nape siwezi mwachia kirahisi hadi anipe jibu .Ni maneno gani alidhani Mzee Kinana angeweza tumia ili kuwakilisha hili bila vunja diplomasia?
 
Hebu ngoja niulize!
Ina maana kikao cha CCM bado kinaendelea hadi sasa au Nape hayupo serious kwa kile alichokileta hapa?! Ameandika alichokiandika, amesepa zake huyooo! Hakujisumbua kujibu japo post moja na wla Online haonekani!!! Ni nini hii?! Yaani anaamini akiandika tu wadau watameza maandishi yake, au?! Ningekuwa na mamlaka humu jamvini, ningeondolea mbali hii thread na ikabaki ile ile aliyokuja kuikanusha otherwise aje kujibu hoja za wadau.
 
Hivi mkuu Kinana na EL wapo kundi moja?Maana kama habari hizi ni kweli(kuhusu Nape na gutter politics),basi ina maana Nape ni common enemy wao.(EL na Kinana)

Lakini then, EL kuna wanaodai(Nape et al),kuwa ni gamba la kuvuliwa(RA alifanya ila EL na Chenge wamegoma),vipi kuhusu Kinana?anakubaliana na Nape kwenye hilo la kumvua EL gamba?Ama Kinana naye naye ni mojawapo ya magamba/mafisadi yaliyopewa 90 days?

Je unahisi hizo anazoziita siasa uchwara ni hayo mambo ya familia peke yake?ama na yeye hapendi hayo mambo ya kuvuana magamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…