JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,627
Huyo ni waziri wa fedha Dk William Mgwima, mkuu,ebu soma hii kitu,especially hapo kwenye bold,ina maana keshapeleka hiyo "taarifa rasmi" ya kuhusu uporaji na "pesa za uswisi" na mkulu hakufurahi?We'll soon connect the dots...
Duh! Hii picha imeniacha hoi...ningekuwa Waziri wa Fedha nikitoka hapo nafanya kama alivyofanya Kinana!
VIONGOZI wawili wastaafu waliopata kuitumikia nchi katika nafasi nyeti za dola ni miongoni mwa vigogo sita walioficha dola za Kimarekani takriban milioni 196.8 (Sh. Bilioni 315) katika mabenki ya Uswisi, RAIA MWEMA limeambiwa.
Habari za uhakika ambazo gazeti hili limezipata zinasema kwamba vigogo hao walifanikiwa kukusanya mabilioni hayo kwa kuwashirikisha baadhi ya wafanyabiashara kupitia mfumo wa ununuzi serikalini (public procurement) kwa nyakati tofauti.
Wakati hayo yakifahamika, Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, anatarajiwa kuwasilisha taarifa rasmi kuhusu uporaji huo kwenye Baraza la Mawaziri.
muda na saa aliyotuahidi MUNGU kuisambaratisha ccm ndio huu.wameanza kusambaratika mwisho chama chao kitabaki na watu wa mtwara lindi na bagamoyo tuu.hapo ndio ujue CHADEMA itachukua NCHI kiulaini.Mkuu hizi taarifa umezitoa wapi? Japokuwa hilo suala linawezekana likawa ni kweli maana muda wowote Magamba lazima wasambaratike ila ni vyema ukiweka chanzo cha taarifa yako ili watu wasiwe na shaka.
Na mimi nilisha tabiri kuwa uchaguzi ndani ya chama chao hautawaacha salama,watafarakana mpaka mamluki wa humu jf wakose cha kuandika.Nilishawah kutabiri kuwa mwisho wa ccm ni mwaka 2012. Nafurah kuona utabiri wangu unaanza kufanya kazi.
Duh! Hii picha imeniacha hoi...ningekuwa Waziri wa Fedha nikitoka hapo nafanya kama alivyofanya Kinana!
Ninachofahamu mimi ni kwamba, Kinana yupo katika kundi la wale wanaotaka akina EL& CO Ltd waondolewe kwenye uongozi wa juu wa chama. Tofauti ya Kinana na watu kama akina Sitta ni majukwaa ya kauli zao. Kinana amekuwa akitumia vikao halali vya chama wakati akina Sitta hata ukiwaalika kufungua shule ya chekechea; watatoa msimamo wao huko!Hivi mkuu Kinana na EL wapo kundi moja?Maana kama habari hizi ni kweli(kuhusu Nape na gutter politics),basi ina maana Nape ni common enemy wao.(EL na Kinana)
Lakini then, EL kuna wanaodai(Nape et al),kuwa ni gamba la kuvuliwa(RA alifanya ila EL na Chenge wamegoma),vipi kuhusu Kinana?anakubaliana na Nape kwenye hilo la kumvua EL gamba?Ama Kinana naye naye ni mojawapo ya magamba/mafisadi yaliyopewa 90 days?
Je unahisi hizo anazoziita siasa uchwara ni hayo mambo ya familia peke yake?ama na yeye hapendi hayo mambo ya kuvuana magamba?
Pasco,
Mimi sio Nape na siye uliyeniuliza swali, lakini naomba nitoe ufafanuzi kidogo.
Kinana hajagombea nafasi za uongozi katika uchaguzi. Hii ni tofauti na mtu aliye madarakani anapoyaacha madaraka hayo. Madaraka ya Kinana yamemalizwa kwa mujibu wa katiba ya chama na sasa ni uchaguzi ambao angeweza kuamua kugombea au kutogombea.
Katika hali kama hiyo hakuna sababu ya kuandika barua.
Sijasema kuwa hakuna barua iliyoandikwa ila sioni umuhimu wa kuchimbachimba na kutafuta barua iwapo mtu ameamua kutogombea nafasi fulani ya uongozi.
Asilani, haihitaji kuumiza kichwa kichwa! Hata hivyo, unavyokutana na msamiati kama huo ndani ya CCM basi unapaswa kuwa makini sana....! Hakuna tafsiri inayosimama peke yake kuhusu "Siasa Uchwara" ndani ya CCM! Unajua ninachomaanisha? Hata yule fisadi namba moja ndani ya nchi hii akitokea CCM kisha akachinjiwa baharini kwenye vikao vya chama, huyo nae atasema hizo ni "siasa uchwara!" Refer RA's Statement! RA nae alisema anaachana na "siasa uchwara." Leo Chenge akichinjiwa baharini, nae atasema Siasa Uchwara! Tatizo nionalo mimi ni kufahamu nani mwenye dhamira chanya ndani ya CCM na nani mwenye dhamira hasi! Laiti Mr. X tuseme ni mzalendo kweli kweli na mpinga ufisadi na Mr. Y ni kinyume cha Mr. X; then hapo endapo ukimsikia Mr. X anazungumzia siasa uchwara basi ungeweza kufahamu anamaanisha nini, na Mr. Y akitumia msamiati huo huo nae ungefahamu anachomaanisha! Kwa CCM ni ngumu kidogo kufahamu kwa yakini siasa uchwara inayozungumziwa hapo.....labda neno sahihi kidogo kwao lingekuwa kuachana na "siasa isiyo na maslahi binafsi"HIVU KUBAINI YA KUA SIASA ZA CCM NI UCHWARA KUNAHITAJI KUUMIZA KICHWA?!!!!!!!!!!!!:frusty::rockon: