Mombo Wetu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2008
- 377
- 38
Hizi namba za matokeo zinanifurahisha jinsi zinavyoishia na 49 na 27.
Hapa kwenye idadi ya waliojitokeza ni fundisho kwa wote walioshiriki uchaguzi kuwa voter turn out katika chaguzi zetu ndio determining factor ya nani atashinda kati ya wale wanaochuana kwa karibu. Ina maana hapo iwapo CHADEMA ingeweza kuwahamasisha wapiga kura wengine elfu 9 kati ya 80,280 wasiojitokeza wangeibuka washindi. Kuna sayansi ya uchaguzi ambayo inabidi vyama vya upinzani wajifunze.vitu vidogovidogo sana wanashindwa kufigure out.
Hwajashindwa ku figure out, they learn through practice and practice make perfect. Usituvunje moyo wewe chama chako kiko miaka mingapi madarakani na CHADEMA imeanza lini kwepo kwenye chaguzi ukiangalia who is evolving in the right direction?

=======Matokeo Rasmi
UDP 640
CCM 29,242
CHADEMA 22,799
CUF 270
=======
CHADEMA WAMESHINDA JAMANI
-Kutoka 4% mwaka 2005 hadi 42.7% mwaka huu (miaka 3 iliyopita) ni ushindi mkubwa.
CCM wameshindwa Jamani
-Kushuka toka 79% mwaka 2005 hadi 54.8% mwaka huu, ni KUSHINDWA.
Hoja ya kuungana kwa vyama, haina mashiko halisi, iangaliwe kwa makini.
CCM ni mali ya Malecela na mkewe, hata Kikwete hafuo dafu.
Tufarijiane kwa njia hii.
Felister wanahitaji kushindwa chaguzi ngapi ndio wawe perfect? Ngoja nikupe mfano, taasisi moja huko Kigamboni inaitwa KYD(Kigamboni Youth Development) kwa viji fedha kidogo vya Foundation for civil society visivyozidi milioni kumi, waliweza kuongeza idadi ya wapiga kura mwaka 2005 katika kata za kigamboni, mjimwema na toa ngoma kwa zaidi ya mara tatu ya idadi iliyopiga mwaka 2000.walifanya kazi hii kwa mwaka mmoja tu. Na taasisi hii haina wasomi mahili kama akina profesa Lipumba, profesa Baregu n.k bali ni vijana wa darasa la saba tu.Kinachotofautisha vijana hawa na wapinzani ni nia thabiti.
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory.
CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external.
Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa.
We have a country to run. Tutakutana Biharamulo
Zitto
First attempt Busanda 4% second attempt 40% just try to find the function for such calculations then u will know how many times they need to fail.
Felister,
Kubali ungali mchanga kama unavyosema mwenyewe. Subiri ukomae, bado unanyonya unataka kuwa mjeshi, lo!!!! Wabongo kwa visingizio tunaongoza. Timu zetu zikishindwa utasikia visingizio kibao, sasa tena mumeanza mara oh! Mwantumu Mahiza kaiba kura, mara wanafanya nini baada ya saa 12 jioni nk. Na hayo matusi yenu ya kuita wana CCM wote mafisadi ndiyo hayo hayo yatakayozidi kuwaangusha. Watu wanawaona hamna busara. "HIVI UNGEKAA KIMYA, NANI ANGEJUA HUNA BUSARA?" Zingatia sana usemi huu.
Kupiga watu kwa manati nayo ni udhaifu mwingine uliowaangusha. Nilisema hapa wiki iliyopita akaja mkubwa mmoja akanishambulia utadhani JF ni ya wapinzani wa CCM pekee, mtu mwingine hana haki ya kuweka post yake.
First attempt Busanda 4% second attempt 40% just try to find the function for such calculations then u will know how many times they need to fail.
Felister wanahitaji kushindwa chaguzi ngapi ndio wawe perfect? Ngoja nikupe mfano, taasisi moja huko Kigamboni inaitwa KYD(Kigamboni Youth Development) kwa viji fedha kidogo vya Foundation for civil society visivyozidi milioni kumi, waliweza kuongeza idadi ya wapiga kura mwaka 2005 katika kata za kigamboni, mjimwema na toa ngoma kwa zaidi ya mara tatu ya idadi iliyopiga mwaka 2000.walifanya kazi hii kwa mwaka mmoja tu. Na taasisi hii haina wasomi mahili kama akina profesa Lipumba, profesa Baregu n.k bali ni vijana wa darasa la saba tu.Kinachotofautisha vijana hawa na wapinzani ni nia thabiti.
Leteni Updates
- Zitto usiende huko Biharamulo na bajaji, tafuta helikopta usije ukaachwa kwenye mataa ndugu yangu, Bwa! ha! ah! mmeangukia pua sasa njooni hapa mtafute ushauri kuliko kujifanya kujua na maneno mengi empty ,
- Humble yourself njoo hapa mpate ushauri, Biharamulo bado njoo hapa utupe tathmini ya yaliyojiri Busanda ili tukupe elimu kwanza kabla ya kwenda Biharamulo!
FMES