CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

Naona hata uandishi hujui,zaid umeandika kujitafutia ulaji! sawa na unanunua nguo mtoto hajazaliwa,ila jitahd siku hizi kuna hata viti maalumu kwa wanaume!
 
Salam zangu kwa Lowassa.Mchezo wake wa kuhonga honga akome.Tukimkuta mtu yeyote anagawa pesa sombetini atakoma.Ila pia ukipewa kwa siri chukia kamanda.Usikubali kuapishwa.Akikuapisha piga simu tuje tumkamate kw kosa la rushwa.Mchezo wa kubeba watu kutoka Monduli ukome.Nimeona Huyo dunya wao not in use anasema yuko na mtu kutoka monduli.Oooh hapa ni fair game.Arusha taisoma.Bananga ndo habari ya Sombetini

Fedha za Lowassa zilishaanza kutembea Sombetini, juzi wanaccm waligawiwa fedha, msamari moja akaziwasilisha chadema shilingi Laki tano.... watu wanahitaji mabadiliko, fedha zao haziwezi kuwabeba
 
Teeeh kama hivi eeeh
 

Attachments

  • 1390729345202.jpg
    1390729345202.jpg
    51.2 KB · Views: 102
Huyu mtoa mada Not in use jina lake ni sawa na CCM ilivyo hapa Arusha.. Haifai na haipo kwa matumizi
 
Last edited by a moderator:
Fedha za Lowassa zilishaanza kutembea Sombetini, juzi wanaccm waligawiwa fedha, msamari moja akaziwasilisha chadema shilingi Laki tano.... watu wanahitaji mabadiliko, fedha zao haziwezi kuwabeba

Mwambieni yule Makengeza alete za Rostam
 
Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
Kichwa cha habari kama vile huo mkutano umeishafanyika.Ulitakiwa uandike hivi: CCM kuliteka jiji la Arusha. Je nauliza, na huo mkao wa kula ni wali kwa maharage au pilau? Hamjaacha tu kuhonga watu vyakula?
 
Anakuja kuweka sawa mambo ya mabomu...... ajue ananuka damu na huyu kjna kifo chakekitakuwa kibaya sana ye aendelee na ujinga wake
 
A town si pahala pa CCM! Mnajisumbua tu tukutane 9 february, mleta mada siku hiyo usikimbie humu jf.
 
Kweli wewe ni chizi unazani arusha wanaijua ccm? Mwiguru anapendwa na nani?
Mbona unaongea mambo ya kinafiki,
 
yangu kamera kuchukua wanaoletwa na malori na mafuso . Daladala hapo uwanjani tutawaekea humu muone
 
Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.

Kipenzi cha watu, homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.

Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche. Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.

Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.

teh teh teh!!..ama kweli CCM kazi mnayo Leo maroli na mabasi yenu yamepaki wapi coz wamama WA chama na watoto wanayasubir et pia mkuu naskia LEO MTAGAWA UBWABWA? kwel sisiemi ni sawa na kupe anayefia kwenye ngozi machinjioni..
 
mpaka sasa watu hawajafika kwenye mkutano mnaodai ni wa kihistoria, ngoja nipaki gari nipige picha za viti bila watu........ chezea Arusha
 
Back
Top Bottom