CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

Hahahahahaha huu utaratibu wa kuchukua wageni kutoka mbali kwajili ya mikutano ya sehemu fulan naupenda sana. Unatoa matumain hata kama wenyeji wahawapo
 
Tupo hapa uwanjan usidanganye watu,waliojaza uwanja ni cdm,ccm ni wale tu waliovaa sare.hata salam wanaitikia ccm wachache waliovaa sare..

makamanda wa cdm tumempamba ajue anakubalika arusha ccm ili amwage mapesa kwakua ni naibu waziri wa fedha

Kinacho nifurahisha.mkutano mzima ni wana ccm hapo ndipo napata shaka ccm watakao piga kura si ccm pekee ndio yale yale mambo ya kusimba watu na magari maana aiwezekani sombetini wana ccm wote wawe na sale kazi mnayo magamba

Sasa cdm mnafata nini kwenye mkutano huo????
Cha msingi msilipue yale mabonu yenu.
 
Mbona cdm wanadai Arusha hakuna wanaccm. Hawa sio wanaarusha. Endeleen na porojo zenu cdm 2015 mtaisoma vizuri sana.....

Tena watu wamekuja kwa wingi bila kuona helkopta! Piga kazi Mwigulu!
 
mpaka sasa watu hawajafika kwenye mkutano mnaodai ni wa kihistoria, ngoja nipaki gari nipige picha za viti bila watu........ chezea Arusha

Mungi hebu tupiamo hizo picha za viti vitupu Hahaha
 
unaanzisha thread alafu unaikimbia jomba vp updates ama ccm wahusika hawako arusha????
 
Wale maskini na walala hoi wa Arusha wako wapi hapa jamani?
149339_654757834586291_9032614_n.jpg


1546468_654757681252973_623286997_n.jpg
 
Kumbe na ccm nao huwa wanaandamana?majanga chama tawala kuandamana.wanaandamana kwa ajili ya kudai haki zao kutoka kwa mafisadi.
 
BOMU.jpg

Wana Arusha awamu hii kuweni makini sana na hicho kitu kwenye picha hapo juu kama ni MWIGULU anayeshiriki katika kampeni hizi ni vema mkachunguza kila akifanyacho ili kubaini ujinga wake na ukatili juu ya Binadamu na mkimgundua ni vema mkamalizana nae huko huko kama alivyofanywa yule diwani wa KISESA kule Mwanza.
 
Back
Top Bottom