Vipi Mwigulu atakuja tena na ile! mtu yake ya maonesho..!?
Yeero, hawesi acha ile sanamu yake. Lasima ailete tena. Sasa Mingulu imekuwa mtu kubwa sana, lasima ioneshe Arusha kuwa ni mtu mkubwa. Shee, awache nini hiyo ndio kifutio yake. Kama Lema natembea na chopa yeye natembea na hiyo sanamu yake iliungua na chumbii. Pole sana usiende kuitisama wooii inatia uchungu sana ati. Nawesa toa wewe machosi sana.