Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Uhalo huu Mkuu..
Sasa wewe unakereketwa na nini? tulia dogo ukunwe upele
Uhalo huu Mkuu..
Ccm wanahangaika arusha awana chao
Leo ni siku ya kupiga hela! Wenye toyo ni twenty, wa miguu ten! Lazima nitie timu na jezi yangu ya Yanga!
Na mmekodi watu wangapi kwaajili ya kujaza mkutano huo?kutakuwa na malori mangapi? je a to z wameenda kazini leo au kiwanda kimefungwa ili kwenda kujaza uwanja...
wametekaje wakat nipo arusha tena karb na mbauda hakuna kitu? Watu wanabembelezwa kwenda kwenye mktn kwa kuhongwa kat ya elfu 10 na 20? Taarfa zilizopo ni kuwa,watu wanasombwa kwa haice wanashushwa kona ya mbauda ili wasisanukiwe kusomba watu...
Tena wanatafuta kad za cdm ili wajigawie na kurudisha kwa ccm ili ijulikane wana cdm wamehama !!! Tumeshajua mbinu zote hzo
Join Date : 15th January 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
Ndugu zangu bado tupo kikaoni,nitawajulisha soon kilichojiri.Ila bado kuna shamra shamra hapa za kutosha Vijana wamependeza na sare zao za kijani na njano.Media zipo za kutosha