CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

mpaka sasa watu hawajafika kwenye mkutano mnaodai ni wa kihistoria, ngoja nipaki gari nipige picha za viti bila watu........ chezea Arusha

Mungi.si uweke picha za viti?
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Nchemba ameshawasili Jijini Arusha Mchana huu akitokea Kiteto na Babati kwaajili ya Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani zinazoendelea nchi nzima,Chaguzi hizi ni ndogo kwaajili ya kujaza nafasi za Madiwani waliojiuzulu na wengine kufariki.
149339_654757834586291_9032614_n.jpg

Naibu Katibu Mkuu CCM Mh:Mwigulu Nchemba akiwa ameambatana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Sombetini WIlaya ya Arusha ndugu David,Hapa akiwa kwenye maandamano kutokea Ofisi za chama hapa Sombetini kuelekea Viwanja vya Mkutano,Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha.

1530466_654757727919635_810483619_n.jpg
Mh:mwigulu Nchemba akipata mapokezi mazito kutoka kwa maelfu ya wananchi waliomiminika Viwanja hivi vya Soko la Mbauda kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni za Udiwani.
1546468_654757681252973_623286997_n.jpg

Mapokezi yanaendelea hapa Soko la Mbauda kwaajili ya kuanza mkutano wa hadhara.

1743598_654757497919658_124467756_n.jpg

Sehemu ya Mamia ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Mkutano huu wa hadhara kwaajili ya Kampeni za Udiwani kata ya Sombetini jijini Arusha.

1551756_654757531252988_1962922630_n.jpg

Wananchi wanaendela kumiminika kwenye viwanja hivi vya soko la Mbauda kwenye Mkutano wa Hadhara wa CCM kumnadi mgombea wa CCM kwenye Kinyang'anyiro cha Udiwani.

Endelea kuwa nasi kwa picha zaidi,Picha zote na HABARI KWANZA BLOG
 
Mbona cdm wanadai Arusha hakuna wanaccm. Hawa sio wanaarusha. Endeleen na porojo zenu cdm 2015 mtaisoma vizuri sana.....
 
mwigulu wapeleke wapeleke siasa safi ndiyo mpako wa watanzania wote tunataka hivyo.
 
Mbona cdm wanadai Arusha hakuna wanaccm. Hawa sio wanaarusha. Endeleen na porojo zenu cdm 2015 mtaisoma vizuri sana.....

Nadhani ni maneno ya kujifariji huwezi kusema arusha hakuna wanaccm wakati wabunge wote wa arusha kasolo wawili tu wengine wote ni ccm.
 
Tupo hapa uwanjan usidanganye watu,waliojaza uwanja ni cdm,ccm ni wale tu waliovaa sare.hata salam wanaitikia ccm wachache waliovaa sare..
 
makamanda wa cdm tumempamba ajue anakubalika arusha ccm ili amwage mapesa kwakua ni naibu waziri wa fedha
 
Kinacho nifurahisha.mkutano mzima ni wana ccm hapo ndipo napata shaka ccm watakao piga kura si ccm pekee ndio yale yale mambo ya kusimba watu na magari maana aiwezekani sombetini wana ccm wote wawe na sale kazi mnayo magamba
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Nchemba ameshawasili Jijini Arusha Mchana huu akitokea Kiteto na Babati kwaajili ya Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani zinazoendelea nchi nzima,Chaguzi hizi ni ndogo kwaajili ya kujaza nafasi za Madiwani waliojiuzulu na wengine kufariki.
149339_654757834586291_9032614_n.jpg

Naibu Katibu Mkuu CCM Mh:Mwigulu Nchemba akiwa ameambatana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Sombetini WIlaya ya Arusha ndugu David,Hapa akiwa kwenye maandamano kutokea Ofisi za chama hapa Sombetini kuelekea Viwanja vya Mkutano,Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha.

1530466_654757727919635_810483619_n.jpg
Mh:mwigulu Nchemba akipata mapokezi mazito kutoka kwa maelfu ya wananchi waliomiminika Viwanja hivi vya Soko la Mbauda kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni za Udiwani.
1546468_654757681252973_623286997_n.jpg

Mapokezi yanaendelea hapa Soko la Mbauda kwaajili ya kuanza mkutano wa hadhara.

1743598_654757497919658_124467756_n.jpg

Sehemu ya Mamia ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Mkutano huu wa hadhara kwaajili ya Kampeni za Udiwani kata ya Sombetini jijini Arusha.

1551756_654757531252988_1962922630_n.jpg

Wananchi wanaendela kumiminika kwenye viwanja hivi vya soko la Mbauda kwenye Mkutano wa Hadhara wa CCM kumnadi mgombea wa CCM kwenye Kinyang'anyiro cha Udiwani.

Endelea kuwa nasi kwa picha zaidi,Picha zote na HABARI KWANZA BLOG

Hao wote wasio na alama yoyote ya kijani ni wana BAVICHA. Sasa wamefata nini hapo?????

Wana BAVICHA kwa kupenda fujo, sijui ni mbege na viroba ndio vinawazuzua!!!

Haiwezekani mtu kwenda kwenye mkutano wa CCM bila t shirt, au kofia au kimbaa cha CCM wakati viko vya kutosha na vinatolewa bure!!!!

Vinginevyo ni wana cdm tu, wazee wa vurugu!!!
 
Nyumbani za kulala wageni zilijaa sana nikauliza kulikoni? Mhudumu akaniambia kuna wageni wengi sana wanatoka Simanjiro,Kiteto na Monduli
 
Mbona cdm wanadai Arusha hakuna wanaccm. Hawa sio wanaarusha. Endeleen na porojo zenu cdm 2015 mtaisoma vizuri sana.....

Ukiwaangalia vizuri utajua tu kwamba ni wageni! Wenyeji tupo Ngusero tunaendelea na kampeni ya mtu kwa mtu!

Wengine ni wajanja wa town wamekwenda kuchukua hela za bure zinazomwagwa na ccm!
 
Magamba nina malori yangu...naombeni tenda ya kusomba watu kwenye mikutano yenu
 
Wewe unayesema CHADEMA wana wabunge wawili Arusha una ugonjwa wa akili au huijui hata Arusha.
CHADEMA ina wabunge watatu:
Israel Natse-karatu
Godbless L- AR. Mjini
Joshua Nasari-AR. Mashariki
sisi tunaishi Arusha acha kudanganya watu.
 
kumbe hapo ni sokoni?
naomba ccm waweke ratiba ya mikutano imayofitia
 
Back
Top Bottom