Viongozi wa ccm,wamepewa Angalizo na wananchi wa mji wa katoro-GEITA,baada ya kupata maudhuria machache sana,zikiwa ni salamu kwa chama hicho kuwa hakikubaliki!
Kama wameweza kumchagua mhujumu wa nyara za taifa kuwa moja ya viongozi wao waandamizi basi jua ni Chama Cha Majangili. Walifanya kosa kubwa sana, na litawagharimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.