CCM yakwama Katoro

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,423
501
Viongozi wa ccm,wamepewa Angalizo na wananchi wa mji wa katoro-GEITA,baada ya kupata maudhuria machache sana,zikiwa ni salamu kwa chama hicho kuwa hakikubaliki!
 
wamehonja joto nahisi kuna sehemu watakuwa wanaongea na mawe tu
 
Mmeshau kuweka na wauwaji. Wanawindana hadi wao kwa wao na usalama wa wauaji wao. Shame o. then
 
Kama wameweza kumchagua mhujumu wa nyara za taifa kuwa moja ya viongozi wao waandamizi basi jua ni Chama Cha Majangili. Walifanya kosa kubwa sana, na litawagharimu.
 
Back
Top Bottom