CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Hawa ndio aina ya viongozi tulionao badala ya kuongea facts wanaleta mipasho, tuambie kwa nini Sioi atashinda sio hadithi za Bush na mechi za meru united,haya ya barca waachie mashabiki wa JF watatuambia. Hata kama CCM itashinda tell us how and why, kwa nini hamjifunzi uongozi mnakimbilia kuongoza? kweli i fell to understand the type of leadership we have in Tanzania they are not serious.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Mmeshajianda kuiba kula magamba kama kawaida yenu.
 
Tuache ushabiki na tutafakari.. kama ccm ingekuwa imepeleka maendeleo Arumeru kweli kungekuwa na hili wimbi la upinzani..? Kama ndani ya miaka 50 chini ya utawala wa chama tawala Arumeru haijapata maendeleo.. huu msukumo mpya wa ahadi kedekede utaleta maendeleo gani..? Na hali hii ndo inapelekea sasa chama tawala kutumia mbinu mbadala kuendelea kuwahadaa wananchi.. wanakuja na tafiti zao hasi ili kuwakatisha tamaa wananchi waone hakuna suluhisho..! Igunga Magufuli aliahidi kujenga daraja ndani ya miezi mitatu wakati wa kampeni.. Mpaka leo daraja halijajengwa na cjui kama litajengwa mwaka huu.. Wameshapata walichokuwa wanakitaka.. Sasa wamehamia Arumeru.. Tafakari..
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

nimepania 1 day nisimame na ww kwenye uringo wa siasa yani i wil goin to show you kwamba tupo tunaojua siasa za majitaka kuliko hata ww...! alafu ndo utajua kwamba kumbe hata vichaa zaid yako tupo hata chadema sema2 tunawatunzia 2 heshima' hivi unakumbuka yule mwanafunzi alokuzomea kule simbo igunga? basi nilikuwa mm, NAKUTAMANI SANA WE MWIGULU MKAMERUNI.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Mwigulu unaongea kwa mamlaka sana kama kwamba nchi ni mali yako na wale unaowatumikia. This is not correct hata kidogo, where do you get the authority to speak with authority as if Tanzania ni private kampani? Bush kuwa Rais wa Tanzania haiwezekani kama CCM kutawala Tanzania baada ya 2015, Chadema kushinda au kushindwa inategemea wananchi wa Arumeru sio matakwa yako.
 
Usione watu wako kimya wameumia sana na huu umaskini wakukopeshwa, tena kwa lazima kukopa umasikini, Watanzania wako kimya wanasubiri mlopoke kama hivi. Mwigulu nchi tajiri watu masikini unasemaje juu ya hili, au hujui kama Mwenyekiti wako?
 
KITU KIMOJA NI HAKIKA, Sio lazima chadema ishinde lakini ni lazima CCM ing'oke; POLE NDO UKWELI JAPO INAKUUMA SANA vile unaangalia masilahi yako na famili yako na mafisadi wenu.
 
id yako yenyewe inatia kichefuchefu inaonyesha wazi unatumia Masaburi kufikiri,

radhia sweety amenifurahisha! kwa taarifa yako wanaopiga kura arumeru mashariki ni wana arumeru hakuna vigezo vya uanachama wa chama cha siasa,mpiga kura anaweza kuwa mwanachama wa ccm akimpigia kura mgombea wa chadema na hivo hivo kwa wanachama wa vyama vingine.suala la kupiga kura ni utashiwa mtu. je igunga chadema walipata kura 26,000 ina maana wana wanachama wengi kiasi hicho,jaribu kupata elimu dunia madrsa pekee haitoshi
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Kwa kuwa umejitokeza mwenyewe nachangia, Ni bahati mbaya kijana wewe umeingia kwenye siasa hadi upo hiari kutoa roho za watu kwa chama chako mfilisi na genge lenu la mafisadi.

1. Hiyo siyo mara ya kwanza Bashe na Mtanzania kutoa utafiti kama huo mkashinda kwa wizi wa kura (Igunga <3000 za wizi na watu 15 kuuwawa)

2. Mnajisahau kabisa kuwa siku hazigandi kwa hiyo mbinu zenu zinafanyiwa kazi kila dakika pamoja na utafiti feki. Hivyo vijijini ni sample ya aina gani na asili mia ngapi ya vijiji vya Arumeru?. Ingetolewa ufafanuzi wa kujibu hayo utafiti ungeweza kiwango cha chini kabisa cha uhalali.

3. Bahati mbaya hiyo stori ina lengo moja tu nalo ni kuuza gazeti la Mtanzania ambalo haliuziki labda kwenye mkakati wenu mgawe bure kwa wananchi wa Meru.

4. SiDhani kama CDM hawajui kuwa mna haki ya kushinda kwenye uchaguzi. Upuuzi wenu ni kuwa mnaamini ni lazima mshinde kwa lazima (Kauli mbinu yenu na vitendo vyenu vya USHINDI NI LAZIMA). Kwenu nyinyi sisi wananchi ni karatasi la kuchambia wakati wa uchaguzi mkimaliza shida zenu hamtukumbuki.

Nakuasa kuwa kwa kiwango ulichofikia, ugopa kuathirika ubongo ukajinyonga mara uhalifu mnaoufanya utakapodhibitiwa na kutoa matokeo tofauti. As for analogy yako na kashfa ya hapo juu jiulizeni baada ya miaka hamsini ya uhuru mnatumia nguvu na raslimali nyingi kubaki madarakani, hamjiulizi mna mapungufu gani? NI KWELI KIBAYA CHAJITEMBEZA NA KIZURI CHAJIUZA
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Oooooh Sweeety Baby, I love you oooooooo! Hear me oooooooooo! Kama ingekuwa ni wanachama tu ndio wanaochagua, basi J.K angeambulia kura 4,000,000 tu.
 
Mkuu mbona mikutano yenu inahudhuriwa na watu wachache sana nikilinganisha na mikutano ya Dr Slaa akimnadi Nassari? Mkuu niliangalia ITV jana yaani mkutano wa CCM ulikuwa na watu kama 100 hivi huku mkutano wa CDM ukiwa na watu kama 2000 hivi au zaidi.

Na hili ni kati ya makosa CDM huwa inafanya. Umati wa watu pekee kwenye mikutano hakuwezi kuleta ushindi. Swali la kujiuliza ni Je umati huo una shahada za kupiga kura au wamekuja kuwaona akina Dkt. Slaa na akina Zitto tu? CDM inafanyaje kuutumia umati wa watu kwenye mikutano yake kama mtaji? Wasiwasi wangu ni kwamba, umma umejaa matumaini na CDM ndiyo maana unajaa kwenye mikutano lakini itakuaje siku umma ukichoka kutokana na kutoona dalili za ushindi? CDM need to change, umati tuonaouona kwenye mikutano yake ulete ushindi sasa
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

CCM ina wanachama wangapi Arumeru Mashariki? Kati ya hao ni wangapi wamenufaikisha na utawala wa miaka 50 ya CCM?
 
Nina imani kwamba over 80% ya voters wa arumeru mashariki hawana access na hilo gazeti wala JF...

There is a need for CDM kubadili tatics na kufanya sensa ya voters continuously ili kujua wanasimama wapi.... I would CDM to win, ila naogopa sana kama ujumbe unafika kwenye ile mihadhara, kwani baadhi ya wahudhuriaji hutoka mikoa au wilaya za jirani
Wewe jidanganye tu hilo gazeti huku meru leo linapatikana kila mahali ili kumwaga sumu
 
Heri mimi mwanamke je wewe unayefaa kuwa Mrs CAMERON TYSON Wasira.

Ukileta hoja nitakujibu kwa hoja na tusi kwa tusi. hakuna asiyejua kutukana kama unaona matusi ndio njia bora ya wewe kuwa JF

Mama Porojo si vyema kulipa uovu kwa uovu. Daima nzuri hung'ara popote hata kama watu mnatofautiana kifikra.
 
We unajulikana kuna mpya zaidi ya uzinifu na wake za watu. Makada ambao wake zao wako kwenye kampeni za arumeru wafuatilie sana nyndo za jamaa huyu.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Ndugu yangu Nchemba wewe umechangia sana CCM kufa. Kwa sasa chama chetu CCM kinaonekana mavi mbele ya wananchi na hapa Arumeru ndo tunaaibika zaidi. Jiandae kwa kashifa ya wizi wa mamilioni ulioufanya wewe na rafiki yako mnayejuana sana. Unajiona kuwa tegemeo sana kwa chama chetu kumbe ni mngese tu na huna unalotusaidia wana CCM. Hatutaki utufariji kwa unafiki na mipasho ilihali kila kitu tunakiona. Mmesababisha CDM kuaminika mno kwa kushindwa kwenu kuangalia matatizo ya wananchi zaidi ya umalaya wenu na kujipendekeza kwenu kwa viongozi wa juu. Mwambieni Rais ukweli kwamba tuna hali ngumu Arumeru na C kumfariji kwa uongo ili mzidi kuiba. Next week utakumbwa na kashifa.
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

:flock::flock::flock::flock::flock::flock::flock::flock:
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Nchi hii tuna shida kubwa moja nayo ni kupindisha mambo mradi tu mtu ashibishe tumbo lake tu. Hakuna utaifa kwanza bali ubinafsi kwanza. Mwigulu mtu uliyekaa Bank of Tanzania muda mrefu, unajua wazi CCM haiitendei haki nchi hii hata kidogo kutokana na kuwa na viongozi wabinafsi na waongo. Mkuu unahitaji kuwa mkweli ili uache urithi (legacy) wa maana kwa watu wako. Watanzania wamechoka na bla bla kama ulizoandika hapo juu. Tafakari!!!!
 
Back
Top Bottom