CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

Hawa ndio aina ya viongozi tulionao badala ya kuongea facts wanaleta mipasho, tuambie kwa nini Sioi atashinda sio hadithi za Bush na mechi za meru united,haya ya barca waachie mashabiki wa JF watatuambia. Hata kama CCM itashinda tell us how and why, kwa nini hamjifunzi uongozi mnakimbilia kuongoza? kweli i fell to understand the type of leadership we have in Tanzania they are not serious.
Jitu linalowaza ngono tu unadhani kuna akili imesalia kichwani mwake?........usikute hapo yupo Guest House na mke wa mtu. ila nampa angalizo uko Arumeru watu wamezoea kuchinja mbuzi, kwahiyo kumchinja mzinzi kama huyu Magulu Muchemba siyo issue kwao.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Hahaha, kama hamtaiba tu, tutatamani tar 2 April uwepo hapa kusema haya tena. Isije kuwa ni yale ya akina makamba kukimbia tarime kabla ya matokeo kutangazwa those days. I wish wameru wangekuwa na misimamo mikali kama ya wana wa Tarime. Ila kwa upole wa wameru, CCM mtachakachua kirahisi kama mnalia hivi.
 
rais bush kuwa rais wa tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini ushindi wa ccm uko given kama jua kuzama

lol..ina maana mnaformality za kisasa za wizi wa kura?,mnawaandaa wananchi klisaikolojia kwa ushindi wa magazetini?..safari hii machalii wa arachuga mtacheka nao kimeru!!,nyie leteni ujanja ujanja tu!!,risasi hazitatosha!!!!....hatutaruhusu haki ipotee kizembe!!
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

Ushindi hauletwi na wanachama, sio ktk uchaguzi wa ubunge tuu hata uraisi.cheki statistics JK alipata kura ngapi ktk uraisi na wanachama wa ccm wako wangapi?
 
jaman hapa saizi niko kwenye bar moja amekaa mundishi wa gazeti la rai na wenzake wanasema hii story wameitunga kuwachanganya wapiga kura wa arumeru na kesho kutwa bashe na huyu muandishi wa new habari na wenzake wanakwenda arumeru kugawa posho kwa wandishi wote wa habari kuigeuza media kutoa habari za ccm tu na sioi ameambiwa asizungumze na mwandishi yeyote wa habari mapaka akina bashe watakapofika
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

Si kweli kwamba wanachama wa chama husika ndio hukipatia ushindi chama chao bali ni wananchi wote kwa ujumla. Hivyo idadi ya wanachama isitumike kama kigezo cha kuharalisha uchakachuaji!!
 
Ushindi wa CCM Arumeru hauhitaji tafiti, uko given kama pi.

Kuendelea kuitetea CCM ni usaliti mkubwa kwa wananchi wanyonge wa Tanzania, Watu wamefanywa mafukara, hawawezi kugarimia mahitaji yao ya siku n.k. Dhambi hii haitawaacha salama!.
 
kama miaka yote arumeru tulikuwa chini ya hawa hawa maji hamna , ardhi imeporwa maendeleo ya kidufi sasa leo wanakuja kutudanganya tena ili watuoe au Mchemba rudi dar kaendelee na kazi yako ya kupiga domo huku safari hata mke wa mtu huchukui, labda kachukue huko kwenye wilaya zingine mnakochukua wafuasi na kuwaleta kwenye mikutano ya kampeni ili kujaza umati safari hii ni bure kabisa.
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

No reaserch No right to talk!Kama CHADEMA hawana hata wafuasi 10,000 Arumeru ilikuaje kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Nassari wa CHADEMA azoe kura zaidi ya 19,000?Hizi kura za ziada zaidi ya 9,000 walizipora wapi?

Kama Baba yake Sioi yaani Mzee Jeremiah Sumari aliyewahi kuwa Waziri mdogo wa pesa hakushinda kwa asilimia hata 50 za kura zote(alipata kura elfu 35),ni kwa vipi Sioi ambaye hana nguvu kisiasa kama ya baba yake tena hajazaliwa wala kusoma wala kuishi Arumeru apate kura nyingi zaidi ya baba yake?

Gazeti la Rai na akina Radhia ni wababaishaki tu na WAPUUZWE!
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

mwambie mk*wapa namchukia sana, kamuua baba wa taifa, ATAKIONA tu, period
 
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.
Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.

My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.

Huu ni Mpango kazi kwa matokeo ya uchaguzi huu, kwani mtakapo pewa matokeo mtashindwa kuhoji imekuwaje kwani mtaambiwa kuwa ata utafiti ulisema hivyo. Chadema lazima muwe makini kwenye hili, kipare wanasema don't take for granted!
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Mmenunua kura za kutosha,sisi tunasikiliza mwisho wa kazi yenu,01.04.2012,tafiti hizi zisizo reality sisi hapana taka.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Imekuwaje tena?
 
Mwigulu wahi Mtera, mke wa Lusinde amebaki peke yake, nenda ukamshughulikie. Jamaa bado amejifungia ndani Arumeru anatafakari namna ya kuchomoka

Hayawi hayawi yamekuwa. Haya sasa CCM semeni kama utafiti wenu fake wa gazeti lenu feki kama ume-hold water!

Hii imedhihirisha kuwa hata Uchaguzi wa Mwaka 2010 CHADEMA ndio walioshinda. Hata Igunga ya Unyamwezini CHADEMA walishinda, na Chaguzi nyingine nyingi ambazo CCM wamedai kushinda kwa KUIBA KURA NA KUCHAKACHUA matokeo.

Wana ARUMERU MASH. hakika wameonyesha njia. Mungu bariki Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya USHINDI WA CHADEMA utakuwa ni dhahiri.

Hkaika Kifo cha Chama Cha Mafisadi kinanukia.
 
Inaonesha huu utafiti ulifanyikia ndani ya Ofisi za CCM Lumumba, sasa Rai wanatakiwa waje watueleze kwanini utafiti wao waliodai ni wa kisayansi umefeli otherwise ni zile propaganda zao kwenye kila chaguzi kuwalaghai wapiga kura.
 
Back
Top Bottom