CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

nawewe unafaa kuwa MRS TYSON a.k.a stive wasiri

Heri mimi mwanamke je wewe unayefaa kuwa Mrs CAMERON TYSON Wasira.

Ukileta hoja nitakujibu kwa hoja na tusi kwa tusi. hakuna asiyejua kutukana kama unaona matusi ndio njia bora ya wewe kuwa JF
 
Unakwenda kufanya utafiti baada ya kupanga matokeo unategemea nini? Hivi RAI c ndo gazeti la RA na wenzake? Kama Uhuru tu!
 
id yako yenyewe inatia kichefuchefu inaonyesha wazi unatumia Masaburi kufikiri,

Ikiwa id yake inatia kichefuchefu, yako "Msoffe" inatapisha na kuharisha, inatia kipindupindu, kuna "Msoffe" akawa "angel"? kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Unakwenda kufanya utafiti baada ya kupanga matokeo unategemea nini? Hivi RAI c ndo gazeti la RA na wenzake? Kama Uhuru tu!


Gazeti la Tanzania Daima mara kadhaa limezungumzia ushindi wa chadema Arumeru na mwanahalisi kadhalika.

Bado sijaona kosa kwa RAI na Uhuru kuibigia debe CCM.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Utajipa moyo sana lakini amini usiamini safari hii utalia machozi!
We ni mtu wa propaganda, na unacheza nafasi ya sterling, hivyo si rahisi ukaadmit kipigo mnachopata Arumeru.
By the way, poleni sana, sijui utakuwa mgeni wa nani siku ya matokeo!
Ushindi uko wazi kwa cdm, na usisite kuwaeleza wanajamvi mambo unayokutana nayo unapopita maeneo ya Ngulelo, Tengeru, King'ori, Usariver na pande za KIA....HUH!
 
Mkuu Mwigulu, huku Meru usithubutu kumsogelea mke wa mtu kama ulivyofanya Igunga, majamaa wanahistoria ya kutahiri mpya maiti. Hivyo chunga mzigo wako!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

Radhia Sweety jina lako ni zuri sana inaelekea na wewe upo kama jina lako baada ya kumaliza kazi ya kumtangaza mshindi Nassari tarehe 2 nitamwomba akuweke ndani ili akuadabishe uache kuropoka au upo na bashe?
 
rais bush kuwa rais wa tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini ushindi wa ccm uko given kama jua kuzama

moderator nilikuwa namtafuta sana huyu jamaa aliyekamatwa ugoni kule igunga naomba usinipe ban nimmalize kwa mitusi mikubwa mikubwa hapa jf ananikera mpaka nashindwa kutype povu linanitoka kwelikweli uwiiiiiii
 
Jamani wana Jf wenzangu tujaribu kuwa wakweli japo mara moja tu. Tunamshambulia Mwigulu Nchemba kwa kauli ya kukipigia debe chama chake je hatujasikia kauli kama hizo kutoka upande wa chadema? Tuna threads hapa zenye vichwa vya habari " Chadema ushindi lazima Arumeru" au chadema msikubali kushindwa Arumeru. Je tulitaka Nchemba aseme CCM itashindwa? hakuna siasa za namna hiyo duniani kote!!!! kama siasa za kukili kushindwa zipo basi CCM haina maana kushindana Arumeru ......ingejitoa kama CUF lakini kwa kuwa wanashindana na wao wanategemea kushinda kama chadema wanavyotegemea kushinda.
angeeleza vigezo wa SIYOI kushinda tungemwelewa, hayo mambo ya BUSHI anamweleza nani?
 
Ikiwa id yake inatia kichefuchefu, yako "Msoffe" inatapisha na kuharisha, inatia kipindupindu, kuna "Msoffe" akawa "angel"? kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
ukirusha mshale gizani ukaskia chwi chwi chiwiii ujue kuna aliyechomwa.
 
Mwigulu Nchemba ana tiketi za bure kuwapeleka watu kama nyinyi kwa Cameron. Mpigie simu 071539876 kachukue tiketi yako ya bure.
huyo MWINGULO amekukameroon kwanza ndo akakupa tikiti ya kwenda kwa David ndo mana unamsifia sana.hapo ulipo Unajiona unakismatii!
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
"masikini akipata Masaburi hulia Mbwata!!"
Mwigulu hapo umeongea kama vile umetoka kufumaniwa!
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Lakini wanaopiga kura ni wale waliojiandikisha, na si lazima wawe wanachama wa chama chochote cha siasa
 
Tuulizwe sisi watu wa meru....kiukwel ccm hawawez shinda..mtaniambia siongelei ushabiki
 
Heri mimi mwanamke je wewe unayefaa kuwa Mrs CAMERON TYSON Wasira. Ukileta hoja nitakujibu kwa hoja na tusi kwa tusi. hakuna asiyejua kutukana kama unaona matusi ndio njia bora ya wewe kuwa JF
unampenda cameroon yaelekea mambo yake yamekuchanganya sana!
 
Back
Top Bottom