CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
na huyu ndio kampeni meneja.......... one can tell how CCM is running out of smart people, wawaombe vijana wenye upeo wawasaidie siyo huyu aisee

CCM may win yes, but majibu kama ya Radhia yanamake sense kuliko hoja yako

angalia hata anavyolinganisha vitu.... one can tell what the hec is in his head!!!! pooofff
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Mkuu mbona mikutano yenu inahudhuriwa na watu wachache sana nikilinganisha na mikutano ya Dr Slaa akimnadi Nassari? Mkuu niliangalia ITV jana yaani mkutano wa CCM ulikuwa na watu kama 100 hivi huku mkutano wa CDM ukiwa na watu kama 2000 hivi au zaidi.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Tatizo lako Mwigulu matatizo yako ya nyuma hayajaishaa....Kama msomi ongea kwa data basi sio propaganda ...ili nasi tukuamini...
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

Duh! Haya sie yetu macho na masikio tu.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Nina mashaka makubwa sana na endapo ulishirikisha ubongo wako wakati unaandika huu UPUUZI & na kama ulishirikisha ubongo ktk hili basi utakuwa na matatizo makubwa sana ya akili na pia uwezo wako wa kufikiri!
 
Labda kama watageuza nakala za gazeti la rai ndo ziwe kura za sioi.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Nadhani unawapa moyo wenzako tu, nakumbuka hata Saddam Hussein hadi anakamatwa makamanda wake walikuwa wanamwambia kuwa wanaelekea kushinda vita. Kwa mtu mwenye akili timamu hata kama CCM ikishinda ni kutokana na mbinu za hovyo na propaganda za kishenzi ambazo zitakuja kuwatokea puani siku moja. Kwa hili la utafiti sijui, Rai gazeti msimamizi ni Bashe kada wa CCM ungetegemea nini? Ndiyo maana huwa naamini kweli kuwa CCM lazima wakati flani upeleke akili zako likizo, hivi kama kushinda CCM Arumeru ni given sasa huko umefuata nini?
Kwangu mimi CDM kushinda Arumeru ni kitu kimoja lakini kikubwa ninachokiona ni Elimu tosha ya uraia inayoendelea kutolewa na kuwaamusha watu toka usingizini ili mbele ya safari akishinda CDM, CCM, TLP au chama kingine wananchi wawe na uelewa na haki zao, ili baadaye tupatwe uhuru wa kweli.
CCM mmekuwa mkitumia sana mikakati ya kufukarisha na kudanganya watu,ili mtawale kirahisi. Mf. Mkapa amesema ardhi ya Wameru itarudi akienda kumuomba Kikwete, assume Sioi ameshinda na ndani ya miaka 3 ardhi isirudi (ambayo ni ngumu kwani naamini waliopewa hiyo ardhi wa hati kisheria), je kwa Wameru walivyo 2015 si wanaweza kumchinja Sioi?
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Mh nchemba mngekuwa barcelona mngeendekeza mbinu chafu!endeleeni kujidanganya watanzania wasasa wanataka majibu ya msingi ya kero zinazo wakabili sio propaganda mara leo huyu sio mtoto wa nyerere,mara alikula fedha za ujio wapapa!hayo sio matatizo ya wanaarumeru mashariki kama mnaujanja waambieni ndani ya miaka 45 mmewafanyia nini!kwanini meru Inamatatizo ya maji wakati wilaya ya monduli inapata maji bila shida kutoka meru!kwanini serikali ya CCM imekubali kuwamilikisha ardhi kubwa wanaojiita wawekezaji wakati hawaiendelezi na wananchi wameru wanakosa ardhi kwaajili yakujenga makazi bora na kilimo!vijana wa MERU wanasema alishindwa baba JEREMIA SUMARY tena akiwa waziri je mtoto tena asiyezaliwa meru{mtoboa masikio} ataweza!kwambinu zenu chafu lazima jasho liwatoke na hata mkilazimisha ushindi kwa kutumia vyombo vya dola jiandaeni 2015 kuwa chama cha upinzani....
 
Nina mashaka makubwa sana na endapo ulishirikisha ubongo wako wakati unaandika huu UPUUZI & na kama ulishirikisha ubongo ktk hili basi utakuwa na matatizo makubwa sana ya akili na pia uwezo wako wa kufikiri!

Binafsi sikuamini ni kauli inayotokam kwa
Mtu mzito namna hii tena kwa kutumia ID yake na kwa wadhifa alio nao kwenye chama. Hii ni aibu na hii ni reflection ya wanaotuongoza kwenye nchi hii...i like maneno ya lipumba kuwa nchi ina OMBWE LA UONGOZI....Nikadhani kuwa pia atakuwa na ujasiri wa kujibu hoja zinazoulizwa humu sasa naona keshasepa...ivi wale vijana wa kijiweni pale usa natengeru wasemeje kama kampeni meneja anasema haya??

May take......CCM ni Janga la Taifa
.
 
chadema na wao wametangaza mara kadhaa kwamba ushindi ni wao Arumeru ni kosa gani watafiti nao wakisema CCM itashinda? Tunazo threads nyingi tu hapa JF zinazotangaza ushindi wa chadema hata kabla ya kupiga kura Arumeru.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Nadhani wewe ni mbumbumbu, ndo maana hata hujui Bush ni nani? Kama una uhakika na ushindi wa ccm, iweje utumie pesa nyingi kununua shahada za watu pamoja na kugawa chumvi huko arumeru? Ama kweli mfa maji haachi kutapatapa
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Wewe ni mwongo sana hakuna cha Bush wala baca usihadae watu, lazima ufunge virago vyako huku ni Meru siyo Igunga.
 
chadema na wao wametangaza mara kadhaa kwamba ushindi ni wao Arumeru ni kosa gani watafiti nao wakisema CCM itashinda? Tunazo threads nyingi tu hapa JF zinazotangaza ushindi wa chadema hata kabla ya kupiga kura Arumeru.
nawewe unafaa kuwa MRS TYSON a.k.a stive wasiri
 
Hivi unajua asilimia ngapi ya watanzania ambao sio wanachama wa vyama vya siasa?

Kwa hiyo hao wote wataipigia magwanda? kwi kwi kwi teh teh teh!

Wewe kafanye utafiti wako uje nao hapa. Hizo tafiti (polls), mpaka sasa tunaona wamekosea, mimi nasema chadema ikipata asilimia kumi, ndio, 10% ya kura zote basi ni ushindi mkubwa sana kwao. Nina uhakika wa ushindi wa kishindo kwa CCM.

Magwanda washakula za uso na mbavu kutoka kwa Tyson, saa hizi wako hoi bin taabani.

CCM Juu, juuuu, juuuuuuuuu zaidi.

Pipozzzz Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Jamani wana Jf wenzangu tujaribu kuwa wakweli japo mara moja tu. Tunamshambulia Mwigulu Nchemba kwa kauli ya kukipigia debe chama chake je hatujasikia kauli kama hizo kutoka upande wa chadema?

Tuna threads hapa zenye vichwa vya habari " Chadema ushindi lazima Arumeru" au chadema msikubali kushindwa Arumeru.

Je tulitaka Nchemba aseme CCM itashindwa? hakuna siasa za namna hiyo duniani kote!!!! kama siasa za kukili kushindwa zipo basi CCM haina maana kushindana Arumeru ......ingejitoa kama CUF lakini kwa kuwa wanashindana na wao wanategemea kushinda kama chadema wanavyotegemea kushinda.
 
chadema na wao wametangaza mara kadhaa kwamba ushindi ni wao Arumeru ni kosa gani watafiti nao wakisema CCM itashinda? Tunazo threads nyingi tu hapa JF zinazotangaza ushindi wa chadema hata kabla ya kupiga kura Arumeru.
point noted!
 
hivi nyie ccm mna kipi cha maana mlichowaeleza Wameru mpaka wawachague?
 
Duh siamini kwamba huo ndio mwisho wako wa kufikiria na kuchambua mambo!
Yaaani mpaka sasa bado unaamini ushindi wa Mtu unategemea na idadi ya Wanachama wa chama chake? Kura haziko hivyo hataz watu wa CCM wanaweza kumpigia kura

Kwa kipi zaidi alichonacho? na yeye huyo akipewa kura atazifanyia kazi sera na bajeti ipi? Au itakuwa ya Lema, kuhamasisha watu kuandamana ndio alilolifanya zaidi Arusha kipi kingine?
 
Back
Top Bottom