Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 699
Kuna haja gani ya kununu gaziti kama hili. labda kwa udaku.
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.
Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.
My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.
Unafkiri hata wenyewe wanajali?Aibu kubwa kwa gazeti hil
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Imekuwaje tena?