CCM yagaragazwa vibaya na CHADEMA uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Mwenge.

Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
Hahahahahah
Mzee Humphray PolePole
Hahahahajaha
Kajamaaa kalitaga PCB Form 6 Benjamin Mkapa
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
NYIE UKAWA MNA MAMBO SANA, VYUONI NI MARUFUKU KUINGIZA VYAMA VYA SIASA MBONA HAMWELEWI NYIE WEZI WA RASILIMALI MADINI...... MNATAKA TUFANYEJE ILI MWELEWE NINI TUNATAKA KATIKA NCHI YETU?. AMANI HII TULIYONAYO TUSIICHEZEE KWA KUPELEKA SIASA KWENYE TAASISI ZA ELIMU. WANAFUNZI WACHA WASOME ILI BADAE WAJE KULITUMIKIA TAIFA.
 
Hakuna uchaguzi utakaofanyika kwenye jumuiya ama taasisi yoyote ya wasomi, mgombea wa CCM akaibuka mshindi. Wasomi wanaojitambua wameichoka CCM kama ilivyo kwa Al-shabab kule Somalia.
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
Polepole siyo mzee ni kijana sema ana ugonjwa wa pumu ndo unamnyonyoa nywele na kumzeesha
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
chuo kikuu cha mwenge ndio chuo gani. hivi si ndio vyuo vinategemea kuhonga tcu ili kupata wanafunzi. ngoja sasa tuone jinsi kitakufa chini ya huyo mchadema.
 
Back
Top Bottom