CCM yagaragazwa vibaya na CHADEMA uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Mwenge.

Ha ha ha ha haaaa... Mzee Humphrey Polepole? Ni Baba/Babu WA huyu k/mwenezi wa CCM.?
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
Ccm walimualika Mzee nani??....hahahaha
 
Back
Top Bottom