CCM yagaragazwa vibaya na CHADEMA uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Mwenge.

Malata Junior

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
3,104
2,550
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.
Mwenge cha mlalakuwa Dar au?
 
Mwambieni huyo rais apige kazi, asifikiri kupata hiyo nafasi ndio ameshachukua nchi! Hawa jamaa wana mbinu nyingi...
 
Tunalipa ada msome Sio kufanya siasa
 
Tunalipa ada msome Sio kufanya siasa
Acha tujifunze siasa ili tuje tulitumikie taifa kupitia siasa c unaona wasomi wote wapo kwenye siasa , maaana ajira zenÿewe hakuna siku hizi, njia nzur ya kujiajiri ni siasa tu, acha tupate uzoefu mapema ili tukija mtaani tuwe na uzoefu
 
Na hii ndiyo sababu ya serikali ya ccm kuwafanyia vigisu wanachuo wasipige kura ,,wanajua nguvu yenu!!
 
Mwambieni huyo rais apige kazi, asifikiri kupata hiyo nafasi ndio ameshachukua nchi! Hawa jamaa wana mbinu nyingi...
hawana mbinu zozote ni kwamba wanalofanya watu wanajua, sema tu ubabe, ukisema ubabe hapo naungana na wewe, manake kushindwa wameshashindwa sana tu, ila ubabe wa kutumia police na mabunduki yao ndio inawaweka madarakani
 
Ni indicator nzuri kwa mshindi iwapo mbeleni ataamua kuendeleza carrier yake ya siasa
 
Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582.Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa uvccm ngazi ya wilaya,mkoa hadi Taifa waliopiga kambi chuoni hapo huku wakipewa msaada wa kila aina na uongozi wa chuo hicho kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.Mgombea wa chadema alipigiwa kampeni na tawi la chaso chuoni hapo bila ushiriki wowote wa viongozi wa chadema kutoka nje ya chuo.CCM walimualika mzee Humphrey Polepole katika sherehe za kumpongeza mgombea wao lakini Sasa sherehe hizo zimeota mbawa.

Walimualika baba yake na polepole?
 
Urais wa vyuo, TLS, LHCR , TAWLA n.k shindeni tu hakuna matatizo.
Hata huko chini tutashinda siku moja. WALALAHOI ambao ndio wapiga kura wenu hamuwajali, na wanapitia maisha magumu unategemea nini?!

BABA mzuri ni yule ANAYEJENGA huku akihakikisha WATOTO pia wanapata CHAKULA na mahitaji mengine ya msingi. LAKINI ni baba wa aina gani huyu anatuambia watoto tusile mpaka amalize kujenga?!
 
Back
Top Bottom