Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 710
- 1,968
Hii nchi haiishiwi vituko
Tukio ni la kweli kabisa wala hamna uzushi.Nashukuru Kwa Taarifa Mkuu. Nimepiga simu Tarime hili ni tukio la kweli.
Kama walimu hawajielewi na wamekufundisha basi wewe pia hujielewi.Tatizo hata hao walimu hawajielewi.
Kama vile ulivyo zombiHili kwa walimu linawezekana kabisa maana wale walishapoteza uwezo wao wa kiakili na kuwa mazombi.
Walimu hajielewi kabisaaaaaaaKama walimu hawajielewi na wamekufundisha basi wewe pia hujielewi.
Mimi niliwahi kuwa nakariri 2×2=4.Walipobadilisha utaratibu wa kuniuliza 1×4=ni ngapi,nilipata shida sana kwenye kujibu.Kuanzia hapo nilijifunza kuacha kukariri vitu vidogo na vikubwa bila kushirikisha ubongo kikamilifu.Mara huwa ni nguvu nyingi akili kidogo.
Walimu kupigwa si kasaida yenu? Watawala kuwachalaza mboko wanavyotaka,mtajitambua lini? Acha makasiriko jitambue.Kama vile ulivyo zombi
Walimu kupigwa si kasaida yenu? Watawala kuwachalaza mboko wanavyotaka,mtajitambua lini? Acha makasiriko jitambue.
CCM HoyeeeKuna tuhuma kuwa kule Tarime Kamati ya siasa wilaya Tarime ikiongozwa na mwenyekiti wake anaefahamika kama Ngicho, mkuu wa wilaya, wabunge pamoja na viongozi wengine wa chama waliwaamuru vijana wa CCM (Green guard) kuwashambulia walimu wa shule ya msingi Nkende baada kutokea kutokuelewana baina yao na walimu, vile vile kaimu afsa elimu aliyekuwa anapinga walimu hao kushambuliwa na green guard nae alipokea kichapo toka kwa vijana hao.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari waandishi waliokuwepo katika msafara huo walipigwa stop kuripoti tukio huku walimu hao wakinyimwa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu, chanzo changu kinaendelea kutabainisha kuwa walimu hao wamepewa vitisho wasiongee na chombo chochote cha habari, na mkuu wa mkoa wa Mara, Mtanda amefika leo kusawazisha mambo.
Chama Cha MajambaziKuna tuhuma kuwa kule Tarime Kamati ya siasa wilaya Tarime ikiongozwa na mwenyekiti wake anaefahamika kama Ngicho, mkuu wa wilaya, wabunge pamoja na viongozi wengine wa chama waliwaamuru vijana wa CCM (Green guard) kuwashambulia walimu wa shule ya msingi Nkende baada kutokea kutokuelewana baina yao na walimu, vile vile kaimu afsa elimu aliyekuwa anapinga walimu hao kushambuliwa na green guard nae alipokea kichapo toka kwa vijana hao.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari waandishi waliokuwepo katika msafara huo walipigwa stop kuripoti tukio huku walimu hao wakinyimwa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu, chanzo changu kinaendelea kutabainisha kuwa walimu hao wamepewa vitisho wasiongee na chombo chochote cha habari, na mkuu wa mkoa wa Mara, Mtanda amefika leo kusawazisha mambo.