Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Kwani Chadema wamefanya nini cha ajabu zaidi ya kukumbatia mafisadi papa watanzania bwana sijui wanaumwa ugonjwaMiaka nenda rudi ya ufisadi chini ya CCM unahusiana nini na CHADEMA?
Kwani Chadema wamefanya nini cha ajabu zaidi ya kukumbatia mafisadi papa watanzania bwana sijui wanaumwa ugonjwaMiaka nenda rudi ya ufisadi chini ya CCM unahusiana nini na CHADEMA?
Naona umeamua kujifanya haujaelewa point yangu nawajua vizuri nimetoka huko huko.
Kwani Chadema wamefanya nini cha ajabu zaidi ya kukumbatia mafisadi papa watanzania bwana sijui wanaumwa ugonjwa
kha, we ndo mufilisi kabisa. kubwa la majizi mnalo huko na lingeshinda hayo majizi majizi majizi majizi yangeshangilia na kumfuata huko. asante jk kwa kulikata, majizi yamenywea na sasa yanatumbuliwa na jpm.Majizi majizi majizi majizi wakubwa
CCM ni wewe Barbarosa; Jecha, Shein, Lubuva, Lumumba, JK, Mkapa, Mwinyi na mbulula yote yanayoongozwa na dentist wa Tembo Kinana ondoa Magufuli anayetekeleza ilani yake ya mfukoni.CCM ni nani?
CHADEMA inaingiaje hapa?
Au wewe kutwa kucha unawaza CHADEMA tu?
Hata ambapo haipo wewe unaiona tu?
....
.....wangetafuta hii kitu dichlorodiphenyltrichloroethane kushika shika majipu ni kutafuta magonjwa mwaga juu yake dakika tano tu
....
.....wangetafuta hii kitu dichlorodiphenyltrichloroethane kushika shika majipu ni kutafuta magonjwa mwaga juu yake dakika tano tu
Huo ndio uzuzu ulio tukumba sisi watanzania
dichlorodiphenyltrichloroethane...... Mkuu hapa umenikumbusha mbali kweli kweli...
Chengee...vijicentkha, we ndo mufilisi kabisa. kubwa la majizi mnalo huko na lingeshinda hayo majizi majizi majizi majizi yangeshangilia na kumfuata huko. asante jk kwa kulikata, majizi yamenywea na sasa yanatumbuliwa na jpm.
Chadema ndio ilikuwa mbadala wa CCM kama ccm ingeondoka madarakani. Lakini hiyo fursa hatukunyimwa na ccm bali na chadema wenyewe kwa kutuletea fisadi kuwa mgombea urais akiongozana na watu wachafu waliotoka ccm wakimpa sapoti.
Imagine nchi ingekuwa inaongozwa na fisadi sasa hivi! Hivi lowassa anamnyooshea nani kidole kwenye uchafu na akaleta maana? Hapo ndio wenye akili tukairudisha ccm madarakani. Na hapo ndio maana tunadai kuombwa msamaha na chadema.
Alhamdululah Mungu katuletea Magufuli at least mara mia tisa kuliko yule fisadi wenu mnaeshindwa ata kumuunga mkono mwangani.
Hshaha hapo kwenye red we noma! unsweza kunikumbusha structural formula yake?
Kama una grievances zako dhidi ya CHADEMA nakushauri uwaanzishie mada yao maalumu.
Hii nimeianzisha kwa makusudi na inaihusu CCM.
CHADEMA haijawahi kuongoza nchi. Hapa tunajadili chama ambacho kimekuwa madarakani tokea tupate uhuru..
Kujivisha ngozi ya kondoo huku magego ya chui yako nje unajidhalilisha. Hujawahi kuwa mwanachama wala mshabiki wa CHADEMA. Fursa ilikuwa yako, lakini hukuwa na busara. Chama cho chote hakihusiki na kukosa kwako akili kutumia busara ya fursa ya sanduku la kura.Chadema ndio ilikuwa mbadala wa CCM kama ccm ingeondoka madarakani. Lakini hiyo fursa hatukunyimwa na ccm bali na chadema wenyewe kwa kutuletea fisadi kuwa mgombea urais akiongozana na watu wachafu waliotoka ccm wakimpa sapoti.
Imagine nchi ingekuwa inaongozwa na fisadi sasa hivi! Hivi lowassa anamnyooshea nani kidole kwenye uchafu na akaleta maana? Hapo ndio wenye akili tukairudisha ccm madarakani. Na hapo ndio maana tunadai kuombwa msamaha na chadema.
Alhamdululah Mungu katuletea Magufuli at least mara mia tisa kuliko yule fisadi wenu mnaeshindwa ata kumuunga mkono mwangani.
Acha hizo unapozungumzia Ccm maanake ni siasa na kwa siasa za Tanzania kwa sasa unapoitaja Ccm lazima na chadema iwepo vinginevyo unakwepa kuambiwa ukweli kwenye chama chako cha ukabilaKama una grievances zako dhidi ya CHADEMA nakushauri uwaanzishie mada yao maalumu.
Hii nimeianzisha kwa makusudi na inaihusu CCM.
CHADEMA haijawahi kuongoza nchi. Hapa tunajadili chama ambacho kimekuwa madarakani tokea tupate uhuru..
Mleta mada,
Ule wa Lowassa wa Richmond unauitaje?
Bila kusahau wa Mramba na Yona.
Naam ajuza....
Unini huo?
Hao nao nini...?
Acha hizo unapozungumzia Ccm maanake ni siasa na kwa siasa za Tanzania kwa sasa unapoitaja Ccm lazima na chadema iwepo vinginevyo unakwepa kuambiwa ukweli kwenye chama chako cha ukabila