Nimeshindwa kukusoma post yako hadi mwisho manake sioni cha maana ulichoandika zaidi ya viroja na vihoja! Walichoakuwa wanajadili ni kwamba, hata kama panatakiwa pawe na uhuru wa habari, bado hakuna uhuru usio na mipaka...na hii ni popote pale duniani! Taja nchi moja duniani ambayo mwandishi yupo huru kuandika chochote kile! Hizo habari zako kwamba cjui theory, cjui madudu gani; ni mbwembwe zako tu! Hoja ya msingi, hakuna uhuru usio na mipaka, PERIOD!
Naona umeamua kuleta ubishi wa ukimwi/VVU hapa, walibisha hadi madaktari.Hii ni school of thought by itself.Ni ngumu kuwa mjuaji halafu ukataka eleweshwa.
Unachotaka kiita ni mipaka si mipaka ,ni Domain kubwa ya uhuru "
Kujitawala na kuwajibika mwenyewe".Ukiwa huru, kiukweli tamaa hazikutawali,hutochafua mazingira,hutotumia muda vibaya, hutopenda faidikika kwa kuwaangusha wengine, hutaharibu afya yako, hutoandika kitu kisicho sahihi kma unawajibika kwa ubora na kuaminika kwa kazi zako, hutoataka advantage kwa wanyonge (.....yaani hutohimiza Mnyonge mnyongeneni....).Ndio maana leo CCM wanatunyonga halafu wanategemea tupa haki.Huku si kuwa respsonsible.
Sasa kuwajibika si mipaka ya uhuru ni "Extensition ya uhuru", usipowajibika utawajibishwa, na hivyo kuwa mtumwa wa mtu, amri au sheria.Yaani kutokumbwa na sheria au kufanya vitu kwa kuangalia na kuogopa sheria ni utumwa wa sheria.
NI bahati mbaya sana unaishi ktk dunia inayodai sana "utawala wa sheria" na mipaka ya vitu.Utawala wa sheria ni kwaajili ya watu wanaopoteza uhuru ama kwa kujtakia au kutakiwa na kufanywa na wengine.Na binadamu wengi wanahitaji sana kuhimizwa, kuelimishwa na baadaye kutumikishwa kwa mgongo wa sheria.Nikupe mfano wa kujitawala na kutawaliwa ktk kitu kimoja. NGONO ni tendo lenye uhalali na uharamu..ama zembe, ama kubaka, ama kununua, ama kuridhia ama kukosea. Kutowajibika kutunza mazingira kunawafanya wabakaji kuharibu mazingira na waliopo kwa kubaka, n ahivyo kumtumikisha wengine, na hivyo kujiweka ktk utumwa kwa kujiweka ktk hukumu ya sheria.
Kaulize hata wana sheria waliokomaa, au watu wa magereza, watakuambiaje na mtu aliye mahakamani aua gerezani.Watakuambia mtu anapotoka anawekwa huru...akiwa ndani alikuwa na baadhi ya aspects za uhuru ila si huru.
Uhuru unauzwa au kuorwa, uhuru unanunulika au kupeana pale uwajibikaji au uelewa unapokuwa mdogo.Kila kosa ufanyalo unauza "aspects fulani za uhuru", unapokuwa ktk sheria ambazo ungepend azisiswepo ni wazi kuwa si huru.
Ukiwajibika utajitawala kwa kila angle, kuanzia ktk hisia tumikishi,fikra,magonjwa ingawa si yote, na hivyo kujikuta uhuru wako mpana unapanuka hadi kufikia mahali pasipo kikomo.Hizi limits za kimazingira na sheria , ukosefu na upotofu wa elimu ndio vitu vinavyotutumikisha na kuufanya uhuru uwe na mipaka.