CCM Wanafahamu kuwa chuki dhidi yao imeongezeka maradufu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,675
Reaction score
10,151
Wanapaswa kujihoji sana kwanini wanachukiwa?

Walikuwa peke yao kwenye kinyag'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2025

Kabla hata matokeo kutangazwa ghasia na vurugu zikaibuka.

Ukikaa mitaani ni wachache saana wanaowasema vizuri

Chuki dhidi yao imezidi maradufu
 
Sasa hivi wanaogopa hata kuvijunia ukijani
 
CCM wameua Watanganyika zaidi ya 10,000 ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika.
 
Back
Top Bottom