CCM Wametelekeza Watu Mwanza

CCM Wametelekeza Watu Mwanza

nyampanaga

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,104
Reaction score
559
Wanarandaranda Viwanja Vya Furahisha Kuelekea Villa Park,chakusikitisha Wengi Ni Kina Kina Mama Na Wa Bibi,huu Ni Ukatili,kama Kuna Mwana Ccm Akisoma Huu Uzi Aujulishe Uongozi,simu Yangu Haina Uwezo Wa Ku Appload Picha,mwana Jf Aliyepo Maeneo Haya Mwenye Simu Fresh Anisaidie Kuwapiga Picha Na Kuziweka:Machokoraa Watafanya Yao Leo.
 
Wangewachinjia ng'ombe hapohapo uwanjani....
 
Watu Wa Geita Na Sengerema Ndiyo Na Wahurumia Zaidi,huwezi Pata Usafiri Muda Huu,wale Wa Magu Na Misungwi Angalau
 
Dah kweli mm mwenyewe nmekutana na wakina mama wanaangaika usafiri wa kurudi igombe...wakawa wanalialia waliambiwa watarudishwa bure igombe wametelekezwa na hawana nauli nikwaonea huruma kwani wengine walikua na watoto wadogo mgongoni ikabidi niwape buku 5..walishukuru ila walinihaidi watampigia lowassa
 
Kila cku huwa wanatekelezwa huku nilpo ccm hula chakula migahawan na kusepa bla kulpa cjui hawajielew atakae ichagua n wa kupmwa akili
 
Hata mm wameniomba buku wadada Flani eti wanaelekea igombe coz waliaidiwa kurudishwa haqajarudishwa hadi sasa
 
Wanamkaanga wagufuli wa watu. Kajua umati umekuja kumuona kumbe n umati wa kutengenezwa
 
Wanarandaranda Viwanja Vya Furahisha Kuelekea Villa Park,chakusikitisha Wengi Ni Kina Kina Mama Na Wa Bibi,huu Ni Ukatili,kama Kuna Mwana Ccm Akisoma Huu Uzi Aujulishe Uongozi,simu Yangu Haina Uwezo Wa Ku Appload Picha,mwana Jf Aliyepo Maeneo Haya Mwenye Simu Fresh Anisaidie Kuwapiga Picha Na Kuziweka:Machokoraa Watafanya Yao Leo.

Acheni unafiki.
 
Baada ya kusoma ule uzi wa fiesta ya Mwanza leo, nilikuwa nasubiri habari ya watu kulekezwa. Hii imekuwa ni kawaida katika mikutano kama hii. Hivi kwa nini watu hawajifunzi?
 
Unafiki wapi wakati ni kweli. Halafu Leo mabula alikuwa hajiamini kabisa. Kila akifikiria haoni nafasi ya kuwa mbunge wa nyamagana kwa wenje
 
Back
Top Bottom