PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na kupitia lile nyomi kwenye mikutano yao ya hadhara, ni ushahidi tosha watu wanataka mabadiliko.

Penyewe hakuna cha malori ya kuwabebea, au wasanii lukuki wa bongo fleva na bongo muvi wa kuvuta halaiki ya watu kutaka kuwaona live! Na bado wananchi wanajaa! Hatari sana kwa watawala.
 
Yaani biashara ndiyo imeishia hapo,
Nimeamini Lissu akili kubwa,sijui wakati wa kampeni watasomba watu na malory,ngo'mbe kakatwa kichwa
 
Kwa kweli CCM tujitafakari kwa kina kama tunaweza kuendelea na uchaguzi na akina ACT na Pona halafu ukaitwa uchaguzi.

Ninatabiri watu hawatajitokeza kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom