CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

naandika nafuta, naandika nafuta, ngoja nipite kimya tu
 
Pole sana Wastara..mungu akuangalie na atende miujiza..nakushauri nenda kwa DAB..hata kama utakosa appointment naye au tafuta no yake mpigie..
 
Wamemtelekeza kwani CCM ni bima ya afya? walimtumia wakamlipa ilibidi yeye nae ajiongeze kwa kufungua biashara au kuhifadhi fedha zimsaidie kipindi cha shida
 
Inasikitisha ila presentation yako inatoa lawama zaidi badala ya kujikita zaidi katika kutafuta suluhu ya tatizo: kwani alipopewa kazi hakulipwa?
d60e04959a58504a8cd34b7818e65bfd.jpg
497dd7dd70a59eac103cd37292bb6f45.jpg
244de6f98d88953a3f68cda7ef2b7c32.jpg
bb9bfe21a5ac3166ea95fc67981ad7a9.jpg

Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao.

Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili ccm ishinde mpaka kupelekea kudondoka jukwaani ambapo ilipekea pingiri za mgongo kuhama na mguu kuanza kuoza.

Tokea aumie mpaka sasa yuko ndani hana msaada wowote mguu wake unaoza anahitaji milioni 30 ya matibabu viongozi wa ccm hawapokei namba yake.

Anahitaji msaada wa kila Mali ili asije kufa kwa sababu ya kuoza maana itapelekea kupata kansa ccm hawana kazi nae tena amekuwa karai hana kazi tena asubiri 2020 sasa kazi yao ni kununua wapinzani tu.

Yaani nimejaribu kumfatilia unaweza kulia hakuna hata kiongozi wa ccm ambae anataka kumuona yaani wanasubiri msiba wake wakapige picha hawa watu hawana utu.

Tumsaidieni wastara Namba zake ni 0713666113
0768666113
 
Wame mtelekezaje? Kwani walikua na makubaliano gani mbali ya makubaliano ya kuifanya kazi ile kwa malipo ambayo walimlipa? Kibinaadam.anahitaji kusaidiwa lakini sioni mantiki ya wewe kuibeba kama hoja.
Bado wewe kudadeki ! Unaijua ccm au unaisikia ?
 
amekua ndani tu wapi,si huyu huyu ilikua mara kaolewa huku mara kule mara full fujo,vyuma vimemkaza tu anaomba lifti.
aseme tu anahitaji malipo kwa ajili ya kuikampenia ccm full stop.
 
d60e04959a58504a8cd34b7818e65bfd.jpg
497dd7dd70a59eac103cd37292bb6f45.jpg
244de6f98d88953a3f68cda7ef2b7c32.jpg
bb9bfe21a5ac3166ea95fc67981ad7a9.jpg

Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao.

Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili ccm ishinde mpaka kupelekea kudondoka jukwaani ambapo ilipekea pingiri za mgongo kuhama na mguu kuanza kuoza.

Tokea aumie mpaka sasa yuko ndani hana msaada wowote mguu wake unaoza anahitaji milioni 30 ya matibabu viongozi wa ccm hawapokei namba yake.

Anahitaji msaada wa kila Mali ili asije kufa kwa sababu ya kuoza maana itapelekea kupata kansa ccm hawana kazi nae tena amekuwa karai hana kazi tena asubiri 2020 sasa kazi yao ni kununua wapinzani tu.

Yaani nimejaribu kumfatilia unaweza kulia hakuna hata kiongozi wa ccm ambae anataka kumuona yaani wanasubiri msiba wake wakapige picha hawa watu hawana utu.

Tumsaidieni wastara Namba zake ni 0713666113
0768666113
Jambo hili haliitaji siasa rangi dini kabila wala itikadi mtu huyu anahitaji huluma na huduma ya watz wote kwa ujumla ili aludishe afya yake tusijadil mchawi nani cha msingi ni kueneza ujumbe kwa lengo LA kumsaidia apate pesa atibiwe apone family inamhtaji uhai bado una umuhmu mkubwa kwake mwenyez mungu akusimamie kipind hiki wastala upone Amen
 
Mkuu kuna Watanzania wana shida kuliko huyu bi dada. They deserve help from us. Sema huyu ni popular tuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom