Na walilipwa!!!Wakati wa kampeni walikuwa wananengua mauno sana jukwani
Hivi Kinana alipougua akatumwa India kutibiwa ilikuwa ni kwa sababu yeye halipwi mshahara!?Mambo mengine ni uchochezi kwani walikubaliana akifanya kampeni atatibiwa mguu???
Alifanya kazi akalipwa akala kona
Leo aumwe tena ionekane katelekezwa???
Tunazuaje sisi tena maana hata wema alituambia hivyomnapenda kuzua!!..90m unaona ni mchezo eeh
Na ateseke sana mpka akome. Hawa ndio waliiweka CCM madarakani wakijali maslahi yao binafsi kuliko watanzania wasio na maji na elimu vijijini. Na afe kabisa huyu
Walimtukana sana EL na kumsimanga Mungu mwacheni aitwe Mungumsiweke siasa na maisha ya mtu.watanzania sote ni ndugu .siasa sio uadui
Huyu binti ana historia ndefu toka anapata ajari ya mguu na kuhangaikia uhai wa mmewe sasa anahangaikia uhai wake dah.Dah kuna watu wanapitia Magumu kwenye maisha haya ....eeh Mwenyezi Mungu nisamehe pale nilipo kulalamikia kwani ni kufuru
ccm watoe 90m kwa ushawishi gani alionao wema!?Tunazuaje sisi tena maana hata wema alituambia hivyo
Unaiponda ccm wakati ndo imekufikisha hapo ulipoMama yangu hawez kufanya ujinga wa kushabikia CCM hata siku moja