Utungaji wa hadithi za aina hii haitasaidia sana jitahidini kutumia busara na njia nyingine za maana.Jambo hili haliitaji siasa rangi dini kabila wala itikadi mtu huyu anahitaji huluma na huduma ya watz wote kwa ujumla ili aludishe afya yake tusijadil mchawi nani cha msingi ni kueneza ujumbe kwa lengo LA kumsaidia apate pesa atibiwe apone family inamhtaji uhai bado una umuhmu mkubwa kwake mwenyez mungu akusimamie kipind hiki wastala upone Amen
Hakuna haja ya media, namba za simu zimewekwa hapo mpigie then mtumie chochote.Yani miongoni mwa wadada waliopitia Mambo magumu na bado anapitia Ni huyu wastara sielewi kwa nini anapitia magumu kiasi hiki,
Hili swali lipate mtu atakae wakilisha kwenye media yoyote walau tumchangia
Mi sihitaji kujua CCM imemtelekeza au la..! Jambo la muhimu ni kumsaidia.
Alipokuwa anashabikia ccm naakafanikiwa haikuwa siasa?msiweke siasa na maisha ya mtu.watanzania sote ni ndugu .siasa sio uadui
Afu binadamu tuna tabia ya kukinai, yani ikitokea kila siku wewe tu, watu wanakuchoka.Angekuwa chama cha msalaba mwekundu huenda angesaidika lakini sio ccm. Wastara sijui kwanini anateseka hivi, sijui kuna siri gani. Bahati nyingine mbaya, wasanii wote wa filamu ni choka mbaya, tiamaji tiamaji hata uwakung'ute kichwa chini miguu juu hawawezi kuchanga millioni 30 toka mifukoni mwao, sanaa inakata roho na naona wasanii wakifanayo kijerumani na tai shingoni.
Tatizo wamejiegemeza Kwenye makwapa ya cccm jinga haoAngekuwa chama cha msalaba mwekundu huenda angesaidika lakini sio ccm. Wastara sijui kwanini anateseka hivi, sijui kuna siri gani. Bahati nyingine mbaya, wasanii wote wa filamu ni choka mbaya, tiamaji tiamaji hata uwakung'ute kichwa chini miguu juu hawawezi kuchanga millioni 30 toka mifukoni mwao, sanaa inakata roho na naona wasanii wakifanayo kijerumani na tai shingoni.
Kwani husikii hapo alianguka akiwa anafanya kampeni za ccm jukwaani?Wame mtelekezaje? Kwani walikua na makubaliano gani mbali ya makubaliano ya kuifanya kazi ile kwa malipo ambayo walimlipa? Kibinaadam.anahitaji kusaidiwa lakini sioni mantiki ya wewe kuibeba kama hoja.
hapo umezungumza hoja ya maana sana, ieleweke kuwa hawa wasanii walikuwa wanalipwa malipo ya kazi zao kipindi cha kampeni, hawakuwa na mkataba wa kusaidiwa na ccm mda wowote wakipatwa matatizo, mleta mada msaidie hata wewe huzuiliwi kitu.Wame mtelekezaje? Kwani walikua na makubaliano gani mbali ya makubaliano ya kuifanya kazi ile kwa malipo ambayo walimlipa? Kibinaadam.anahitaji kusaidiwa lakini sioni mantiki ya wewe kuibeba kama hoja.
Umeongea maneno ya kweli na ya busara sana japo ukweli unauma. Ifike wakati watu waelewe sio jukumu la serikali kuendesha maisha ya mtu, hii ikiwa ni pamoja na mambo ya chakula, makazi, mavazi na matibabu. Hili ni jukumu la mtu mwenyewe. Serikali inakuwezesha tu. Huyu inawezekana alipata fursa ya kuipigia debe ccm (mimi cjui), na inawezekana walimlipa. Sitaki kuamini kwamba hawakumlipa. Ilikuwa ni jukumu lake sasa kutumia hicho kipato alicholipwa kukifanya mtaji wake wa maisha badala ya kudhani kwamba kwa kuwa aliwapigia debe ccm basi watamtunza milele mpaka atakapokufa. Hili halipo. Kidogo unachokipata, kizalishe ili kikuendeshee maisha yako badala ya kutumbua chote kama wasanii wengi walivyo then kesho ukiishiwa na kupata tatizo unaanza kuangalia pa kupeleka shutuma zako. Huu ni upuuzi. Wapo watanzania wengi sana wenye matatizo makubwa kuliko huyu, sasa je nao wailaumu ccm/serikali?Tatizo mastaa wengi wanapata pesa wanaishia kula bata tu na kushindana kuvaa.at the end of the day wakipata maproblem makubwa wanakuja kuomba msaada serikali ina mambo mengi sana ya kufanya wala siwezi ilaumu.na hili ni funzo kwa watu wote inatakiwa kupambana na hali yakwako binadamu saiv kila mtu anajari maisha yake tu
Kamuoe ili pia umsaidieInasikitisha sana afu Wastara bado mtoto mzuri!!! Mashaallaah
Tunahitaji watanzania wenye mtazamo kama wako Shiu Yang.Yani miongoni mwa wadada waliopitia Mambo magumu na bado anapitia Ni huyu wastara sielewi kwa nini anapitia magumu kiasi hiki,
Hili swali lipate mtu atakae wakilisha kwenye media yoyote walau tumchangia
Mi sihitaji kujua CCM imemtelekeza au la..! Jambo la muhimu ni kumsaidia.