CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

Hivi wewe ni nani

alikupa kibali cha

kuwachangisha watu

michango [emoji16] [emoji16] [emoji16] !?
 
Kwan wastara ni hasa mpaka ccm imhudumie? Apambane na hali yake. Magu hashobokei wauza sura kama jk
 
Wastara ni zaidi ya Lissu? Chama unachokitaja ndicho chama dola na bila kujali itikadi kinatakiwa kitumie kodi zinazokusanywa kutimiza wajibu wake kisheria. Hawajatoa hata senti 10 kwaajili ya Mh. Lissu, sembuse Wastara!
 
Babu huyo wala hajamtukana lowassa sema kwenye kampeni alikuwepo mwanzo mwisho na mama ongea na mwanao
Oh basi ngoja tumwombee apone haraka. Sasa na huyo mama aliyekuwa anamwambia aongee na mwanae si afanye mandingo mrembo wa watu apone wanaume tuongezewe idadi ya vitu vitamu vilivyo tayari kuliwa?
 
What is the reason? Simjui sana Wastara ila kuna mengine pengine hayako wazi moja kwa moja kwa jamii. Ana mikasa isiyo ya kawaida
 
Oh basi ngoja tumwombee apone haraka. Sasa na huyo mama aliyekuwa anamwambia aongee na mwanae si afanye mandingo mrembo wa watu apone wanaume tuongezewe idadi ya vitu vitamu vilivyo tayari kuliwa?
Huyo mama kama haoni vile na wakati walikua wanazunguka wote vijijini
 
Mambo mengine ni uchochezi kwani walikubaliana akifanya kampeni atatibiwa mguu???
Alifanya kazi akalipwa akala kona
Leo aumwe tena ionekane katelekezwa???
 
d60e04959a58504a8cd34b7818e65bfd.jpg
497dd7dd70a59eac103cd37292bb6f45.jpg
244de6f98d88953a3f68cda7ef2b7c32.jpg
bb9bfe21a5ac3166ea95fc67981ad7a9.jpg

Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao.

Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili ccm ishinde mpaka kupelekea kudondoka jukwaani ambapo ilipekea pingiri za mgongo kuhama na mguu kuanza kuoza.

Tokea aumie mpaka sasa yuko ndani hana msaada wowote mguu wake unaoza anahitaji milioni 30 ya matibabu viongozi wa ccm hawapokei namba yake.

Anahitaji msaada wa kila Mali ili asije kufa kwa sababu ya kuoza maana itapelekea kupata kansa ccm hawana kazi nae tena amekuwa karai hana kazi tena asubiri 2020 sasa kazi yao ni kununua wapinzani tu.

Yaani nimejaribu kumfatilia unaweza kulia hakuna hata kiongozi wa ccm ambae anataka kumuona yaani wanasubiri msiba wake wakapige picha hawa watu hawana utu.

Tumsaidieni wastara Namba zake ni 0713666113
0768666113
Umeandika kwa kejeli sana, Mungu anakuona ujue!
 
Ni kweli Wastara alitumiwa na CCM kwenye kampeni ile ya mwaka 2015, lakini baada ya kwisha kampeni kila mmoja wao alipata mgao wake wa kuridhisha (milioni 30 na wengine zaidi). Ni dhambi kubwa sana kusingizia CCM kwa kila kitu, Wastara aliweka wapi hela zake na alipozitumia alimgawia nani kati ya wewe na mimi?
 
Bora kimsaidia tu kuliko kumsindikizia ccm imsaidie kwa bajet ya sasa ivi hakuna nkumtibia mtu tuna mpango was kununua wapinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom