CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

Angekuwa chama cha msalaba mwekundu huenda angesaidika lakini sio ccm. Wastara sijui kwanini anateseka hivi, sijui kuna siri gani. Bahati nyingine mbaya, wasanii wote wa filamu ni choka mbaya, tiamaji tiamaji hata uwakung'ute kichwa chini miguu juu hawawezi kuchanga millioni 30 toka mifukoni mwao, sanaa inakata roho na naona wasanii wakifanayo kijerumani na tai shingoni.
 
d60e04959a58504a8cd34b7818e65bfd.jpg
497dd7dd70a59eac103cd37292bb6f45.jpg
244de6f98d88953a3f68cda7ef2b7c32.jpg
bb9bfe21a5ac3166ea95fc67981ad7a9.jpg


Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao.

Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili ccm ishinde mpaka kupelekea kudondoka jukwaani ambapo ilipekea pingiri za mgongo kuhama na mguu kuanza kuoza.

Tokea aumie mpaka sasa yuko ndani hana msaada wowote mguu wake unaoza anahitaji milioni 30 ya matibabu viongozi wa ccm hawapokei namba yake.

Anahitaji msaada wa kila Mali ili asije kufa kwa sababu ya kuoza maana itapelekea kupata kansa ccm hawana kazi nae tena amekuwa karai hana kazi tena asubiri 2020 sasa kazi yao ni kununua wapinzani tu.

Yaani nimejaribu kumfatilia unaweza kulia hakuna hata kiongozi wa ccm ambae anataka kumuona yaani wanasubiri msiba wake wakapige picha hawa watu hawana utu.

Tumsaidieni wastara Namba zake ni 0713666113
0768666113
Sio vema kumsema mtu kwa mabaya ila hawa wasanii waache wakome tu
 
Sasa mkuu mbona umewabebesha mzigo ccm kama ndi Baba mzazi au mume.?
 
Yani miongoni mwa wadada waliopitia Mambo magumu na bado anapitia Ni huyu wastara sielewi kwa nini anapitia magumu kiasi hiki,
Hili swali lipate mtu atakae wakilisha kwenye media yoyote walau tumchangia
Mi sihitaji kujua CCM imemtelekeza au la..! Jambo la muhimu ni kumsaidia.
Roho ya mwanadamu huhangaika na hutulia pale tu inapokutana na muumba wake.
 
Pole yake mnoo Mungu amsaidie waliipenda wenyewe ccm no 1
Asijekuwa yuko kwenye ile list ya waliomtukana mzee wa watu "kajinyea"

Saa nyingine malipo huwa hapahapa kwenye mavumbi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom