mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,717
- 11,917
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya kumaliza walilipwa elfu 20. Zilisikika sauti za watu pale Mnara wa Mashujaa “ mkome ,Wajinga sana nyinyi”
Swali ni kweli CCM watapewa hela na watu? au watawapa hela then wakalipe kwenye account ya Chama
Pili tuliona Serikali wakichukua hela kutoka serikalini na kurekebisha Viwanja vya CCM yani hela za Kodi yetu sisi raia inaenda kwenye miradi ya Chama! Alafu kodi inaenda Chamani.!!
Yani wameweza kutoa hela kununua mabasi zaidi 10+ now wanataka hela kwa masikini?
Wananchi wachangie kampeni then walipe kodi kila siku. Upumbavu kama huu Kenya 🇰🇪 hawataki.