nashukuru kk kalale kwanza ukiamka ndo utanjibuNashukuru kwa kuwa nimekuwa kenge mwenye kustahili kujibiwa na wewe. Kumbe wewe unao uwezo hata wa kujibizana na kenge? hongera sana. Naona wewe siyo mwanadamu wa kawaida kwani unaweza hata kuwasiliana na wanyama kama kina sisi huku.
Nadhani usiseme CCM wakishinda Kalenga unajinyonga bali useme CCM wakishinda kihalali Kalenga utajinyonga.
nashukuru kk kalale kwanza ukiamka ndo utanjibu
what does you mean?
Hapana Mangi anauza buku naenda kununua kwa Mkinga yeye anauza jero etiKopa kamba ya kujinyongea kwa Mangi, mimi nitakulipia
Hapana Mangi anauza buku naenda kununua kwa Mkinga yeye anauza jero eti
mkuu mbushi tupe mwamko wa wananchi na elimu ya uraia kamanda lema na msigwa wanayotoa katika operesheni hiyo ya kata govi
Mmmmmmmh!!!!!???
Nyie wa.she.nzi huku sio facebook
Rafiki huyo jamaa wala hakuandika kiingereza. Kwa kuwa sentensi kama hiyo ya "what does you mean" haiko kwenye lugha ya kiingereza. Nadhani umuulize anazungumza lugha gani. Kama alidhani ameandika kiingereza basi mwambie wenye lugha yao wamekataa kuwa hakuna sentensi ya namna hiyo.Kwani hapo ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini!!
Mi nitambea uchi ccm wakshinda kalengaa
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Grace ana mtaji tayari wa kura elflfu 13
We mtoto sana inavyoonekana halafu unapenda mijadala na wakubwa wakati huelewi chochote...
umemuonea mdau uliyem'quote ,npo tayar kufa kenge wew