CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

Nashukuru kwa kuwa nimekuwa kenge mwenye kustahili kujibiwa na wewe. Kumbe wewe unao uwezo hata wa kujibizana na kenge? hongera sana. Naona wewe siyo mwanadamu wa kawaida kwani unaweza hata kuwasiliana na wanyama kama kina sisi huku.
nashukuru kk kalale kwanza ukiamka ndo utanjibu
 
Mi nitambea uchi ccm wakshinda kalengaa


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Grace ana mtaji tayari wa kura elflfu 13
 
Kwani hapo ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini!!
Rafiki huyo jamaa wala hakuandika kiingereza. Kwa kuwa sentensi kama hiyo ya "what does you mean" haiko kwenye lugha ya kiingereza. Nadhani umuulize anazungumza lugha gani. Kama alidhani ameandika kiingereza basi mwambie wenye lugha yao wamekataa kuwa hakuna sentensi ya namna hiyo.
 
Kama daftari la wapiga kura lingekuwa limerekebishwa ningekuunga mkono. Wanaoiunga Chadema ni wengi lakini tatizo hawakujiandikisha kupiga kura!!
 
Back
Top Bottom