CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

Busara ni kitu cha muhimu sana! Kwanini uweke rehani uhai aliokupa Mungu kwa mambo kama haya? Kwani CDM ikishinda ni kwa ajili ya utukufu wako? Tubu kwa Mungu uovu huu na mwombe Mungu akatende alilokusudia kwa watu wa Kalenga kwa utukufu wake mwenyewe! Usijitege kwa maneno ya kinywa chako ukampa shetani utukufu asiyoustahili!



Kwa namna kampeni zinavokwenda... upepo unaelekea cdm kuwa washindi pamoja na kuwa mizengwe na visa vinafanyika dhidi ya cdm...

Naapa cdm ni washindi KALENGA.
 
We Jinyonge tu, CCM ndio chama cha wa watanzania. Watanzania wengi wanaisapoti CCM kutokana na sera zake ambazo zinatekelezeka.

hawa ndiyo wanaoisapiti ccm: Mafisadi, majagili, wauaji, wauza sembe kama riz1...
 
Kwa namna kampeni zinavokwenda... upepo unaelekea cdm kuwa washindi pamoja na kuwa mizengwe na visa vinafanyika dhidi ya cdm...

Naapa cdm ni washindi KALENGA.
Kalenga ccm wameshikwa mbavu ndiomana wanatumia mabavu naujasusi mkubwa wakudhuruwatu.
 
Kwa namna kampeni zinavokwenda... upepo unaelekea cdm kuwa washindi pamoja na kuwa mizengwe na visa vinafanyika dhidi ya cdm...

Naapa cdm ni washindi KALENGA.
Kalenga ccm wameshikwa mbavu ndiomana wanatumia mabavu naujasusi mkubwa wakudhuruwatu.
 
Ukijinyonga unazani na wana CCM watajinyonga pia?

Siku ya uchaguzi na majibu nitarudi kutafuta post yako inayotuaga kuwa unajinyonga baada ya dkt chache, au ndio unakata roho.

Kuwa makini sana na mawazo na mdomo na ulimi, kujiwekea laana za ovyo bila ubavu wowote. Umeshaandika usia?
 
Ccm mpaka sasa, wanajadili ni mbinu gani chafu zitakazotumika kwenye uchaguzi, sababu wameshindwa kabisa kuwashawishi watu kwenye kampeni na kuanza kujeruhi wanachama wa Chadema, hicho ndicho wanachokifanya ccm kwa sasa, chamsingi Chadema wawapange makamanda kupambana na mbinu zote hizo, dhibiti kisawsawa kama mlivyodhibiti pale Njombe, mbunge wa darasa la pili Japeople aliondoka kwa aibu licha kutumia mamilioni ya fedha.
 
huwezi kumchagua mgeni kama mtoto wa mgimwa kuiongoza kalenga.litakuja kuwapata kama lililompata lowassa kwa Soi sumari Kule arumeru
 
Tutegemee nini na hapo unapotoa kiapo chako umekula viroba nane
 
Human rights watch, Jukwaa la katiba Tanzania we want you there at Kalenga please. The same to Chalinze.Chaguzi za Tz ndizo zinazoongoza kwa vitisho ktk Dunia hii.Tunaomba simamieni hili kwa uhakika na kwa umakini sana.
 
Back
Top Bottom